Kwa mimi naona kama urafiki unawezekana but inabidi ufuate moyo wako, kama hautaki basi. Mimi naweza sana, Ex wangu ni rafiki yangu wa kawaida sana just like someone i know
I can not imagine urafiki wa kawaida na mtu ambae tayari mshafanya mambo kadhaa....
Ila ipo ile ya kushirikiana once in a while, nayo sio ya mazoea na kufuatiliana...
Point noted, kwamba mliachana vibaya huyu piga chini asikuletee kiwingu. wanaume tunazeeka na ubikira wetu, mlango mmoja ukifungwa ujuwe mitano inafunguka.
Haa haa babu kuna wakati katika maisha inabidi ukubali matokeo, kama huwezi kubadili njano kuwa nyekundu ni bora ukaikubali njano kama ilivyo, unaona kabisa kwamba a relationship u have ni total failure na there is nothing u can do about it ni bora kui end hata kama inaumiza kiasi gani. Mnapoachana haimaanishi uadui au urafiki on spot, mimi binafsi ilinichukuwa muda to get over him, heal n to accept hali halisi then tukaja kuwa marafiki baada ya miaka kupita. Sina feelings nae tena but ni mtu tu kama watu wengine ninao wafahamu, hatukugombana but it didnt work, thats allMhhhhh...Mima naona hiki kizazi cha dot com kimetokea sayari nyingine...Yaani uwe na urafiki wa kawaida na mtu ambaye uko kwa ajili yako 24/7???
Kwetu sisi tuliopita kwenye ile mikono mitukufu ya wababu/wabibi na kufuzu...hayo mambo ya Ma-Ex hatukuwa nayo na kama ilitokea basi hizo ni miongoni mwa siri ambazo unakufa nazo au unazitoa kabla ya kurudisha namba kama yule bibi wa Titanic!!
exactly.Kama mliachana vibaya nakushauri uendelee kumpotezea, huezi jua ana lengo gani!..
sitaki kuwa rafiki yake,sitaki kummega na sina unafiki eti niigize.Sasa unambania ili iweje?
si ndio hapo sasa kupigiwa simu nite kali.Mkiachana urafiki mwingi unakuwa ni wa mashaka, na wivu kibao,anaweza hata kukuharibia kwa mwanamke wako mpya
tukikutana namsalimia vizuri na kuongea nae lakini sihitaji zaidi.Kwa mimi naona kama urafiki unawezekana but inabidi ufuate moyo wako, kama hautaki basi. Mimi naweza sana, Ex wangu ni rafiki yangu wa kawaida sana just like someone i know
si ndio hizi za mkikutana hug na kisses za shavuni,maneno mawili/matatu unakitoa.I can not imagine urafiki wa kawaida na mtu ambae tayari mshafanya mambo kadhaa....
Ila ipo ile ya kushirikiana once in a while, nayo sio ya mazoea na kufuatiliana...
Umeshaandaa daku mdogo wangu??? Ngoja nijiandae kupumzisha hizi nyama za weneyewe!!!
si ndio hizi za mkikutana hug na kisses za shavuni,maneno mawili/matatu unakitoa.
Haa haa babu kuna wakati katika maisha inabidi ukubali matokeo, kama huwezi kubadili njano kuwa nyekundu ni bora ukaikubali njano kama ilivyo, unaona kabisa kwamba a relationship u have ni total failure na there is nothing u can do about it ni bora kui end hata kama inaumiza kiasi gani. Mnapoachana haimaanishi uadui au urafiki on spot, mimi binafsi ilinichukuwa muda to get over him, heal n to accept hali halisi then tukaja kuwa marafiki baada ya miaka kupita. Sina feelings nae tena but ni mtu tu kama watu wengine ninao wafahamu, hatukugombana but it didnt work, thats all
tukikutana namsalimia vizuri na kuongea nae lakini sihitaji zaidi. .[/QUOTE said:Hiyo inatosha kusalimiana na kuongea not more
DC daku mda mrefu nimeandaa... ziko kwenye warmers...
alafu mbona coment tofauti na ulipo highlight...lol...
Karibu daku...
Hiyo inatosha kusalimiana na kuongea not more
Sawa kabisa babu, tunaongelea kuachana na kila mtu akaendelea na maisha yake mengine, hapo kwenye kutamaniana ni mbali sana na wala halipo kabisa kama watu mmeachana with genuine reasons but still haimaanishi kwamba mkikutana hamwezi kuongea au ukamsaidia mtu kama ana shida ya kibanadamu ambayo unaweza kumsaidia binadamu mwingine yoyoteSina hakika kama tunaongea lugha moja kutegemeana na nyakati tulizoishi wakati tunafanya hayo majaribio.....Mimi nilimaanisha kuachana na si kutengena au kujiweka pembeni tu.
Siamini kwama unaweza kuachana na mtu (with genuine reasons) halafu kesho yake mkaanza kutamaniana...
fikra zangu pia.Kama mliachana vibaya nakushauri uendelee kumpotezea, huezi jua ana lengo gani!..
hili ni gunia la misumari halibebeki mkuu.Sasa unambania ili iweje?
kama umuwahi kuona neighbour from hell basi huyu alikuwa GF from ....Mkiachana urafiki mwingi unakuwa ni wa mashaka, na wivu kibao,anaweza hata kukuharibia kwa mwanamke wako mpya
ndio tafauti zetu mkuu.Kwa mimi naona kama urafiki unawezekana but inabidi ufuate moyo wako, kama hautaki basi. Mimi naweza sana, Ex wangu ni rafiki yangu wa kawaida sana just like someone i know
nipo kwenye uhusiano mwingine hakuna kuzuba mjini.Point noted, kwamba mliachana vibaya huyu piga chini asikuletee kiwingu. wanaume tunazeeka na ubikira wetu, mlango mmoja ukifungwa ujuwe mitano inafunguka.
hahaha! no comment.Ya kweli hayo (RED)???
nina mtu sasahivi na nimeshakuwa mkubwa kuonjaonja hapana.mia.unamfanya vibaya mwenzio..yeye usifikili sijui anataka umpigie simu hapana.kwa madada zetu walivyo na aibu hapo anamaanisha naomba tukumbushane mbinu zile za 6 kwa 6.sasa na wewe ulivyo mzito eti unaanza kuwaza mabaya mliofanyiana badala ya mazuri.hapo tu ndo unanikela best.kwani mimi nlikufundishaje?si nlikuambia wanaume hatuachi tunaweka pause tu?msikilize kijana mwenzio bana.penye miti hamna wajenzi.hata wewe uporoto01?.sikupi mia labda 1 tu.
si ndio hapo sasa tukikutana salamu za kinafiki,umependeza jamani,unafanya mazoezi uko fit hahaha! zaidi ya hapo no.Haa haa babu kuna wakati katika maisha inabidi ukubali matokeo, kama huwezi kubadili njano kuwa nyekundu ni bora ukaikubali njano kama ilivyo, unaona kabisa kwamba a relationship u have ni total failure na there is nothing u can do about it ni bora kui end hata kama inaumiza kiasi gani. Mnapoachana haimaanishi uadui au urafiki on spot, mimi binafsi ilinichukuwa muda to get over him, heal n to accept hali halisi then tukaja kuwa marafiki baada ya miaka kupita. Sina feelings nae tena but ni mtu tu kama watu wengine ninao wafahamu, hatukugombana but it didnt work, thats all
kwenye public kama kwenye dala dala kwa sisi wapanda daladala au kaja ofisini kwako anashida ya kiofisi au anahitaji professional advice yako juu ya kitu fulani au kakupigia simu anakusalimia au anashida, hapo mi sioni tatizoMnaongelea wapi??
Barabarani au chemba??
well said my dearMpotezee huyo labda kama mliachana kwa amani unaweza kumfanya awe rafiki.
Msamehe kwa yote ila usirudishe ukaribu kama huitaji kulivaa tena gamba.
Hhhheeeeeeeeee.....ADii.....Nilikuwa najaribu kuihuisha memory yangu kuona kama bado inayakumbuka hayo mambo kadha kadha!!