Sawa kabisa babu, tunaongelea kuachana na kila mtu akaendelea na maisha yake mengine, hapo kwenye kutamaniana ni mbali sana na wala halipo kabisa kama watu mmeachana with genuine reasons but still haimaanishi kwamba mkikutana hamwezi kuongea au ukamsaidia mtu kama ana shida ya kibanadamu ambayo unaweza kumsaidia binadamu mwingine yoyote
hahaha! punguza wivu bana....Hata rafiki yangu haruhusiwi ku hug my man... sina uzungu huo.
barabarani,huyu navyoona nikikutana nae chemba anaweza nibaka-sitaki ya Zimbabwe.Mnaongelea wapi??
Barabarani au chemba??
my point also,halafu maadam umesema wewe ndio kabisaa atanisikia kwenye redio na kuniona kwenye TV hahaha!Mpotezee huyo labda kama mliachana kwa amani unaweza kumfanya awe rafiki.
Msamehe kwa yote ila usirudishe ukaribu kama huitaji kulivaa tena gamba.
salaam on the road foolstop.Uporoto yaliyopita si ndwele, tugange yajayo, huyo anakupotezea muda tu
kama aliamua ku move on, mwache ende urafiki kati ya ma x huwa sio mzuri sana hasa wa kuonana mara kwa mara
Mpotezee huyo labda kama mliachana kwa amani unaweza kumfanya awe rafiki.
Msamehe kwa yote ila usirudishe ukaribu kama huitaji kulivaa tena gamba.
Uporoto yaliyopita si ndwele, tugange yajayo, huyo anakupotezea muda tu
kama aliamua ku move on, mwache ende urafiki kati ya ma x huwa sio mzuri sana hasa wa kuonana mara kwa mara
kwenye public kama kwenye dala dala kwa sisi wapanda daladala au kaja ofisini kwako anashida ya kiofisi au anahitaji professional advice yako juu ya kitu fulani au kakupigia simu anakusalimia au anashida, hapo mi sioni tatizo
Kuna dada tuliachana vibaya miaka mingi iliopita na muda huo akataka eti tuendelee kuwa marafiki mimi nikampotezea.Sasa kuna siku moja moja tunagongana mitaani na hunilaumu sana eti kwanini simpigii simu au hata sms na siku mojamoja tuweze kupata hata chakula cha mchana.Hivi kuna urafiki baada ya mapenzi kufa ?
aisee...hii statement sijui hata kama naielewaga context yake....ngoja niombe msaada kwa babe AshaDii hapa atanisimulia usiku tukilala
Kwa nini mnapenda kulazimishia watu marafiki? yaani uporoto 01 ameishiwa marafiki mpaka lazima na urafiki na huyo mwanamke? humu inaonekana wengine bado wadogo haya mambo yanakera na yanauma kuliko unavyoweza kuamini, maana mtu unaweza ukawa umejitoa muhanga na kudevort ur time kwa ajili mapenzi na huenda hata ndugu zako wengine mlikosana kwa ajili ya mapenzi then demu anakuzinguwa eti baadae unasema tuwe marafiki?kwenye public kama kwenye dala dala kwa sisi wapanda daladala au kaja ofisini kwako anashida ya kiofisi au anahitaji professional advice yako juu ya kitu fulani au kakupigia simu anakusalimia au anashida, hapo mi sioni tatizo
Matola mimi sitaki urafiki yeye ndio analazimisha nami bado sihitaji.Kwa nini mnapenda kulazimishia watu marafiki? yaani uporoto 01 ameishiwa marafiki mpaka lazima na urafiki na huyo mwanamke? humu inaonekana wengine bado wadogo haya mambo yanakera na yanauma kuliko unavyoweza kuamini, maana mtu unaweza ukawa umejitoa muhanga na kudevort ur time kwa ajili mapenzi na huenda hata ndugu zako wengine mlikosana kwa ajili ya mapenzi then demu anakuzinguwa eti baadae unasema tuwe marafiki?
Naona mnaleta mzaha wa makusudi.
Haa haa nimependa swali lako Kaizer, ndio niko kwenye harakati za kumfahamu BabuHivi, O&O unamfahamu babu DC? nauliza tu
Hon tatizo you always want to read between the line....lolz...
Mie usiku nina hadithi nyingine... hio siitaki...

aisee...hii statement sijui hata kama naielewaga context yake....ngoja niombe msaada kwa babe AshaDii hapa atanisimulia usiku tukilala

gamba likivuliwa limevuliwa kaizer hakuna kuvishana magamba ya zamani. Lol.
Halafu huyu uporoto ataniua kwa presha, kigamba cha zamani kinajirudisha wakati jigamba jipya nipo. Khaaa!
orait babe I get u..but before I allow you that, nitakusimulia kisa cha Mfalme na wali wenye walakin....kile kitabu changu cha Hekaya za Abunuwas si kipo karibu...hahaha
Mimi sio mgumu wa kuelewa nilishakuelewa, nina hivyo vimeo vingi kwahiyo kwenye thread hii hapa ndio nyumbani kwangu, kinachonikela wengine wana ndoa za kanisani utakuta ananipigia simu eti mbona uko kimya sana? mwe!Matola mimi sitaki urafiki yeye ndio analazimisha nami bado sihitaji.

Ukiona hivyo ujua kumbe hujajivalisha vya kutosha ama saizi hazitoshani.....sijui ndo nimeelewa maana?
Huko sirudi tena niache mwanga nikimbilie giza ? i dont think so.

gamba likivuliwa limevuliwa kaizer hakuna kuvishana magamba ya zamani. Lol.
Halafu huyu uporoto ataniua kwa presha, kigamba cha zamani kinajirudisha wakati jigamba jipya nipo. Khaaa!
Hapo tupo pamoja... so looking forward... hakikisha tu ile dim light leo
umetengeneza... sitaki gizo wala mwanga mkali....lolz
hapo kweli unahitaji msaada wa ashadii.
You know what baby, nimeshapita kwa mpemba, and I got ur favourite....and hopefully leo stima itakuwepo, kwa fadhila za TANESCO lol so you get your full package..lol