<br />
<br />
hapo kweli unahitaji msaada wa ashadii.
<br />Umeona eeeh? yaani nina kazi ya ziada na huyu ndg yako... kupenda huku... khaa!
Hapo tupo pamoja... so looking forward... hakikisha tu ile dim light leo
umetengeneza... sitaki gizo wala mwanga mkali....lolz
huyo ndugu yangu nenda nae mdogo mdogo tu mamdogo.
Inasemekana ni mgumu kuelewa mwepesi kusahau.
Source: google.
Hehee hehe.
I heard you guys like to do it with the dim lights on.
But I really make babies when the Mighty is on.
hivi huja notice a week imepita na that is what we are relying on.... Hivi TANESCO ndo akina nani Lov?
Hehee hehe.
I heard you guys like to do it with the dim lights on.
But I really make babies when the Mighty is on.
Love, for the sake of my appetite, lemme not say anything about them now....nikumbushe asubuhi...
hahaha! punguza wivu bana.
.
Mimi sio mgumu wa kuelewa nilishakuelewa, nina hivyo vimeo vingi kwahiyo kwenye thread hii hapa ndio nyumbani kwangu, kinachonikela wengine wana ndoa za kanisani utakuta ananipigia simu eti mbona uko kimya sana? mwe!
Point noted, kwamba mliachana vibaya huyu piga chini asikuletee kiwingu. wanaume tunazeeka na ubikira wetu, mlango mmoja ukifungwa ujuwe mitano inafunguka.
Inawezekana mimi ni mgeni jukwaa hili kwahiyo sielewi taratibu zake, lakini kama niko sahihi nadhani wale wanaopenda kuchart wangekwenda kwenye JF chit chart. hii thread mngeacha wachangie wenye point na subject husika. Am standing to be collected.
Kuna dada tuliachana vibaya miaka mingi iliopita na muda huo akataka eti tuendelee kuwa marafiki mimi nikampotezea.Sasa kuna siku moja moja tunagongana mitaani na hunilaumu sana eti kwanini simpigii simu au hata sms na siku mojamoja tuweze kupata hata chakula cha mchana.Hivi kuna urafiki baada ya mapenzi kufa ?
badly,kisa chenyewe kilikuwa hivi kuna mzee wa kihindi alikuwa boss wake akawaita wafanyakazi wake(sita) na kuwaambia yeye anafunga ofisi na kuhamia Canada,na kwakuwa wamemfanyia kazi nzuri atawakopesha kila mmoja milioni 20 za kufanyia biashara ambazo anataka warudishe baada ya miaka mitano bila riba yoyote. Sasa bibie akaingia tamaa akaona anaweza kupata zaidi kama atamliwaza mzee wa watu na labda hata kusamehewa kulipa hiyo mil 20.Yap.. depends mli achana vipi ...............
I don't buy this story.badly,kisa chenyewe kilikuwa hivi kuna mzee wa kihindi alikuwa boss wake akawaita wafanyakazi wake(sita) na kuwaambia yeye anafunga ofisi na kuhamia Canada,na kwakuwa wamemfanyia kazi nzuri atawakopesha kila mmoja milioni 20 za kufanyia biashara ambazo anataka warudishe baada ya miaka mitano bila riba yoyote. Sasa bibie akaingia tamaa akaona anaweza kupata zaidi kama atamliwaza mzee wa watu na labda hata kusamehewa kulipa hiyo mil 20.
Akaniacha na kuanza kumfukuzia mzee wa watu lakini mzee akamtolea nje kwamba hahitaji mpenzi ana mke na watoto anachotaka wafanyakazi waendelee na kurudisha mkopo KWISHA KAZI.Baada ya muda akataka kurudi nikamtolea nje na sasa baada ya muda ndio anataka tuwe marafiki. Kibiashara kaendelea kidogo ana gari na vi-boutique viwili na anajenga nyumba yake kwa sasa.
Kwa nini mnapenda kulazimishia watu marafiki? yaani uporoto 01 ameishiwa marafiki mpaka lazima na urafiki na huyo mwanamke? humu inaonekana wengine bado wadogo haya mambo yanakera na yanauma kuliko unavyoweza kuamini, maana mtu unaweza ukawa umejitoa muhanga na kudevort ur time kwa ajili mapenzi na huenda hata ndugu zako wengine mlikosana kwa ajili ya mapenzi then demu anakuzinguwa eti baadae unasema tuwe marafiki?
Naona mnaleta mzaha wa makusudi.
badly,kisa chenyewe kilikuwa hivi kuna mzee wa kihindi alikuwa boss wake akawaita wafanyakazi wake(sita) na kuwaambia yeye anafunga ofisi na kuhamia Canada,na kwakuwa wamemfanyia kazi nzuri atawakopesha kila mmoja milioni 20 za kufanyia biashara ambazo anataka warudishe baada ya miaka mitano bila riba yoyote. Sasa bibie akaingia tamaa akaona anaweza kupata zaidi kama atamliwaza mzee wa watu na labda hata kusamehewa kulipa hiyo mil 20.<br />
Akaniacha na kuanza kumfukuzia mzee wa watu lakini mzee akamtolea nje kwamba hahitaji mpenzi ana mke na watoto anachotaka wafanyakazi waendelee na kurudisha mkopo KWISHA KAZI.Baada ya muda akataka kurudi nikamtolea nje na sasa baada ya muda ndio anataka tuwe marafiki. Kibiashara kaendelea kidogo ana gari na vi-boutique viwili na anajenga nyumba yake kwa sasa.
Matola usipate presha hapa MMU tunaishi 'kimjinimjini' mada inaendelea na maongezi ya hapa na pale.Inawezekana mimi ni mgeni jukwaa hili kwahiyo sielewi taratibu zake, lakini kama niko sahihi nadhani wale wanaopenda kuchart wangekwenda kwenye JF chit chart. hii thread mngeacha wachangie wenye point na subject husika. Am standing to be collected.
kuna ukweli kidogo ukizingatia hizi nyonyo za kichina siku hizi shemeji akipata hug anaweza hamia kabisaa lol!Sina wivu... ila tu najua ni mwanaume wa kweli akiguswa guswa tu na
wadada wengine nampoteza briefly... Pressure ya nini?? hivo hiyo ni proactivation.lol
vimeo havikosekani mjini sio kinadada tu hata wanaume.Kama una vimeo vingi embu acha kununua vitu vya mchina!!!Next time tafuta vitu orijino uone rah yake!!!
mi nataka tukikumbana mjini tusalimiane yeye anataka constant back and forth.Job true true🙂)) urafiki ukikolea unaweza kuleta matatizo kwa wandani wenu wapya!!..Keep distance, akikusalimia mara moja moja siyo mbaya ila ukindekeza ujue itakuwa kama game!!..halafu mtu anakutext au kukupigia muda wowote, inakera!!