Mi nilishindwa sijui nyie.



Mkulu Matola apa umenena. Well said!
 

Wahi kaka usije ukaishia kuwa ex na kuanza kumwomba urafiki.
 

Oh samahani; nilikuwa sijasoma post yako ya mwanzo.
 
Orait, kwen hili juukwaaa la urafiki na ma X, yumeconclude nini?
 
Poa usije tu ukawa unawahi bafuni, unatudanganya hapa, all the best ila sasa hakikisha mshike mkono usimwache nyuma
Dunia ya leo hata kama mdomo wako ni mzito huwezi kumwaga sera kwa wadada, ukifikia hatuwa ya kwenda bafuni kwa ukame basi wewe hutakuwa unaongoza kwa ubahili hapa mjini.
 
Siamini ktk urafiki baada ya mapenzi kuisha...ni kutafuta upenyo tu wa kutenda dhambi.
 
 
same case happened to, and if she saw me talking with other galz, she is unhappy and moreover after few mins she used to write msg concerning that gal I talked with. Bt the good thing is that I told her directly thru the phone, that we just to need to be friends, that all, otherwise its better to quit everything.
 

Uporoto unapo sitisha mapenzi na mpenzi wako wa zamani sitisha swala la kumega.
Lakini urafiki uwepo pale pale huyo atakufaa hapo baadae kipindi cha ukame. Ataendelea kuwa kama reserve siku yoyote ukitaka kufanya substitute yeye anachukua nafasi kiulaini. Na wahenga wanasema nguo ya kale haitupwi katu.
 
Uporoto nakubaliana na wewe mambo ya kukaa karibu nayo bana hapana tukiachana biashara inakwisha hapo
 
yap,urafiki unaweza kuendelea kwa uangalifu sana/some limitations...na unahitaji kuwa na msimamo thabiti ktk hilo vinginevyo mtarudiana!
 
Uporoto nakubaliana na wewe mambo ya kukaa karibu nayo bana hapana tukiachana biashara inakwisha hapo

Kukumbushia muhimu, kikubwa mahawala huwa hawaachani wanapotezana tu wakikutana gemu inaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…