Mi nimefell so naona izi thread zenu za shule naona uchungu kweli..!!!

HMJ

Senior Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
157
Reaction score
21
wakuu mm roho inaniuma xna coz naona necta haikunitendea hak ki ukweli nilixma kwa juhud zangu zote na nilikuwa nashika no 1 tangu form 1 mpaka namaliza shule matokeo ya mock nilipata div 2,na matokeo ya pre nation nilipa div 1 kiukweli nilikuwa cfikilii kufel kabxa cha aja matokeo ya necta yalivyotoka shulen kwe2 hakufaulu hata mmoja nikajikuta nimeambulia 4 ya 26 na nilivyockia matokeo yanalekebishwa nilifurah xna lakn kilichotokea ni yale yale nilikuwa na f moja ya cvcs ndiyo iliyobadilika xo matokeo yangu ni C,C,D,D,D,D,D,D,D dah nauzunika kweli niombeen kwa mungu jaman nimeomba vyuo vya serekali nifanikiwe coz uwezo wa kusoma private cna..inauma xna

ahsanteni...!!!!
 
usiogope ewe mtz! Mungu ni waajabu sana. Mimi nilipitia matukio mengi sana, mpaka sasa nipo chuo kikuu namalizia mwaka wangu wa mwisho. Nilipata div iii ya point 22. Lakini. . . . . . Embu ni'pm' nikutie moyo.
 

We ulivyofuata mbunye shuleni ulitegemea nini..?
 
Pole sana ndugu....cha kwanza ni kuyakubali matokeo then unajipanga upya....hata ualimu nenda tu maisha popote
 
Hebu jaribu kuulizia wanao soma Private school kama wengi wao wana matokeo mazuri zaidi ya hayo uliyonayo. Ukipata majibu ndo useme kama umefeli au la! Usijikatie tamaa mapema.
 
Pole sana ndugu....cha kwanza ni kuyakubali matokeo then unajipanga upya....hata ualimu nenda tu maisha popote

Nimeshapost application letter wzara ya elimu but some people tell me kuna kujuana xo cjui kama nitapata...
 

There're two things involved.
1. Huenda ulikua unaongoza darasa la mambulula
2. Ulitumia sentesi za facebook kujibu maswali.
 

ni kweli ulifaulu vizuri sana.......mimi nipo baraza la mitihani....na mtihani wako nilisahihisha.......tatizo lilikuja ni maandishi yako.......wasahihishaji tulishindwa kuelewa umeandika kirumi au kiebrania.....ni hilo tu.....
 
There're two things involved.
1. Huenda ulikua unaongoza darasa la mambulula
2. Ulitumia sentesi za facebook kujibu maswali.

hata ww upo xhh myb kweli nilifanya thanx geneous...!!!
 
ni kweli ulifaulu vizuri sana.......mimi nipo baraza la mitihani....na mtihani wako nilisahihisha.......tatizo lilikuja ni maandishi yako.......wasahihishaji tulishindwa kuelewa umeandika kirumi au kiebrania.....ni hilo tu.....

thnx maana mungu ndicho alichokujaalia kuchangia....
 
Mtihani hauna miujiza ndugu upandacho ndio uvunacho.
Kwenye mitihani hata kama shule imejaa wajinga lazima Namba Moja atakuwepo hata kama akiwa amepata 10/100 na wengine 2/100 bado huyo ni namba moja.
Kingine ni kuwa Pre National inatungiwa shuleni na kusahihiswa na walimu wanaokujua huko NECTA hakuna mtu anaejua kuwa wewe ni fulani kama andika yako ndio umetumia kuandika Final exams zako basi huhitaji pole
 
Kwa uandishi wako huu ni sawa tu hayo majibu yako, wala huna wa kumlaumu mdogo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…