happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,392
wakuu mm roho inaniuma xna coz naona necta haikunitendea hak ki ukweli nilixma kwa juhud zangu zote na nilikuwa nashika no 1 tangu form 1 mpaka namaliza shule matokeo ya mock nilipata div 2,na matokeo ya pre nation nilipa div 1 kiukweli nilikuwa cfikilii kufel kabxa cha aja matokeo ya necta yalivyotoka shulen kwe2 hakufaulu hata mmoja nikajikuta nimeambulia 4 ya 26 na nilivyockia matokeo yanalekebishwa nilifurah xna lakn kilichotokea ni yale yale nilikuwa na f moja ya cvcs ndiyo iliyobadilika xo matokeo yangu ni C,C,D,D,D,D,D,D,D dah nauzunika kweli niombeen kwa mungu jaman nimeomba vyuo vya serekali nifanikiwe coz uwezo wa kusoma private cna..inauma xna
ahsanteni...!!!!
Nimegundua Janga jingine la kitaifa. HIVIIIII HII LUGHA MNAJIFUNZIA WAPI?? UANDISHI GANI HUUU.