Leo mechi ya simba vs kagera sugar uwanjan kaitaba kuna mama kazmia kisa simba kafungwa. na ni mwanakagera na mechi iko kwao na timu ya pekee ya kwao ndo inacheza. Hata sijaelewa anaumwa nini!!Hongera sana huo uzalendo wa hali ya juu hata mm niko km ww
Yaan nimeshangaa sana mkoa wa kagera hamna watu waajabu kama hawa yaani timu inayochangamsha mji kimichezo na kiuchumi hawaipi sapoti kisa kaja simba au yanga yaan hawa wahaya sijui wakoje jana uwanja wote umevaa nyekundu utadhan kagera alikua ugenini. Haya ni mambo ya ajabu sana sijawahi kuona. Imefika hata yanga wameagiza watu kutoka Mwanza waje waishangilie kagera ili ipate nguvu maana ikishinda kwao ni faida. Hongera kwa baadhi ya wanakagera walioishangilia timu yao mpk wamesukuma bas kutoka kaitaba mpk rwamishenye. Wahaya tuache mambo ya ajabu tujifunze kwa wenye mbeya city yao wanavoipa sapotiLeo mechi ya simba vs kagera sugar uwanjan kaitaba kuna mama kazmia kisa simba kafungwa. na ni mwanakagera na mechi iko kwao na timu ya pekee ya kwao ndo inacheza. Hata sijaelewa anaumwa nini!!