mi sielewi kweli sielewi.mhh bado sielewi.

mi sielewi kweli sielewi.mhh bado sielewi.

ngosha01

Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
41
Reaction score
11
hivi haya matokeo si ni ubabaishaji.eti division 3 ya 31.wakati mwaka wangu ilikuwa 4 tena home dingi anakuzingua na wanafamilia wanakunyanyasa kwa mda.leo limtu lina 3 ya 30 linalinga sana.sasa utata muwapeleke form 6.naanzisha maandamano mi sielewi au wakuu mmepitisha watoto wenu.daha cheki jamaa limekaa hapa sebuleni na lina post kwenye fb.thanks God.yaani marafiki zangu niliosota nao miaka ile wakapata four na zero kwa hizo point 40 leo hawa maziro wanafulahia.
waziri wakienda advance naandamana.
 
Back
Top Bottom