Mi sio mtu wa mchezo mchezo

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
302
Reaction score
292
Kila nkienda kwenye harusi wazee wananiambia "bado wewe tu"

Na mimi nimeanza kuwaambia hivyo hivyo tukikutana kwenye mazishi [emoji41] SIPENDAGI UJINGA MIMI[emoji41][emoji41]
 
Kila nkienda kwenye harusi wazee wananiambia "bado wewe tu"

Na mimi nimeanza kuwaambia hivyo hivyo tukikutana kwenye mazishi [emoji41] SIPENDAGI UJINGA MIMI[emoji41][emoji41]
Aisaee wwe KN, hatari sana.. yaani ile ya mjomba na binamu na hii ya bado wewe tu !!! mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…