Mi sio mwenzenu tena kwaherini wote

Kumufata=kumfuata
Kumupeleka=kumpeleka
Hamunaga=hamnaga
 
Hapa naona waliofanya tafiti na kupata ratio ya 4:1 itabidi warudi kwenye data analysis maana huenda ratio sahihi ni 4:3!
2018 umenikumbusha hii kitu na asante kwa hili, nadhani akirudia hiyo tafii sasa inaweza kuwa 4:3.9!
 
huu mwandiko wa mtoa mada hautofautiani na mwandiko wa mkata nyasi za ngo'mbe pale nyumbani

nyie wakata nyasi mtuachie jf yetu mbona sie facebook tumewaachia jamani
 
Ukipima HIV uturudishie mrejesho pia mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…