INAUZWA Mi TV Box S inauzwa

dendizzo

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
962
Reaction score
1,331
Mi TV Box S inauzwa kwa bei chee. Hiki ni kifaa kinachoipa uwezo TV yako ambayo siyo smart TV kuwa smart TV na pia hata kama TV yako ni smart lakini haina android OS basi unahitaji kifaa hiki ili kufaidi features za Android.

- inatumia android os
- 4K ultra HD
- ina Google assistant (unatumia voice search)
- ni portable
- 8GB storage kwa ajili ya apps. (unaweza kutumia flash pia kama external storage
- HDMI, USB PORT

Bei yake 150,000

Napatikana DSM, kwa mawasiliano zaidi unaweza kunichek PM, nipigie namba 0625 547 767 au whatsapp 0654 910 120.

Picha moja ni ya kifaa chenyewe kikiwa complete, na nyingine ni jinsi inavyoonekana kwenye tv.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei ikifika 50000 unitafute tumalize biashara
 
Yaan TV yako ni LED inaifanya kuwa UHD 4K na pia smart au mi sijaelewa mi nachojua u UHD AU 4K ni uwezo wa kioo cha Tv

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiifanyi TV yako kuwa UHD 4K ila hii device inao uwezo wa kuonesha contents za UHD kama TV yako ni UHD 4k.
Kwa mfano simple tu, kama TV yako ni UHD na unataka kustream Netflix, dstv, Amazon prime video etc katika resolution ya 4k basi hii tv box ina uwezo wa kutoa 4k.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
OYAAAAAAAAAAAAAAA NINA KILO TUFANYE BIASHARA
 
Bado unahitaji...mimi nikuuzie kwa 50000/=?
Mimi nina smart tv je kinaweza kufanya tv iwe ya android ina google playstore? Na ina internal gb ngapi nikitaka kudownload apps na vitu vingine?
Weka na picha..
 
Wenye tv za kibyongo tumepitwa na mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…