Mi wa Nkoani nakuja Dar nielekezeni mambo muhimu ya hapo mjini

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Kama mada inavyojieleza

Nipo njiani kuja mjini Daslama kutokea huku nkoani

Masaa machache ntakua nishaingia mjini hapo

Nina muda sana sijakanyaga huo mji so najua kuna mabadiliko mengi Sana ya kimazingira,naombeni mnifahamishe mambo muhimu pindi ninapowasili mjini hapo.

Asanteni
 
mkoa gani? maana unataka tufikirie mikoa ya kusini ila umejichanganya!!
 
Ukifika nenda ukaoge alafu ukanunue deodorant, huku mjini hatunuki vikwapa. Ni hayo tu Mkuu
 
Natokea Itilima Simiyu huku
Boss naomba tenda ya kuwa dereva wako kipindi chote utakachokua hapa.

Usafiri ni bajaj mpya, safi... Lakini kama unatakiwa ufike maeneo ya hadhi kidogo tutatumia Raum new model.

Nazijua sehemu mbalimbali za kutafutia na za kutumia hela.

Kila saa moja malipo ni shilingi elfu nane. Mafuta hatujajumlisha.
 
Kuuliza TSHs 500 na Kupelekwa TSHs 1000
 

Tipoko” mjasiria mali! Mbongo umechangamka kusaka pesa
 
Mzee wa Simiyu! kaa chonjo na matepeli wanaotumia muziki pale darajani unapoenda kupanda gari kwenda mbagala au gongolamboto!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…