Mia Nne na Moja!

Sura-ya-Kwanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2007
Posts
568
Reaction score
12
Nimetoka JF Ville Forest Reserve, nikapiga kona kwenye jengo la mahusiano Kufyoka na Ushauri- Nikakutana na haya...

Mhh

Kule Forest Reserve nilipita kutoa hongera za Nyani wa kule. Cha kustaabisha mrembo wa warembo...nasikia anaitwa kikombe cha keki, hakutokea!
Bana we, minongo'no yao...
Hapa ni pongezi tu. Sasa kebehi za nini? Huwezi toa pongezi na kuishia...?


Huko nyuma 'Miogomvi mingine'

Ze-Marcopolo naye kaniacha hoi! Kudos!

Sasa Nyani tutamkoma "Nyani Giladi that is"πŸ˜€ sasa na mie nna mia nne na tano?

Anywey

Napenda kuto shukurani kwa wazito wa JF...Bila nyinyi na wanahudhuria magwiji na wengine wote watembelevu wa Jamii Forums, haya mabandiko 401 yasingeweza kuwa matarajio @ list ya kwanguπŸ˜•

Matarajio yangu JF is "A Force to Reckon With" I submit.

Vivyo hivyo "Where We Dare to Talk Openly"

Kula Breki!!! bado inatafuta wabunifu kama yule wa Kwanza! Ze-Marcopolo anafit hiyo dozi, Kudos again.

Wananchi na Wanajamii kwa ujumla: Huu ni ukumbi wa Maukumbi. Tumia kumbii hili kujielimisha,kujiliwaza,tukana tu-ili mradi isiwe matusi,. Kwa maana nyingine simama na msimamo wako.

Toa hoja😎, changia hojaπŸ™„, zungusha hojaπŸ˜›(hii nasikia inaitwa spinning)πŸ˜€
Haribu hojaπŸ˜›, Ua hoja😑!

Let's do it "Amicably"
Kutoka mia nne na moja uhusiano weno wote unakaribishwa!
 
Sawa mkuu Sura ya kwanza......sijui ukiingia sura ya pili itakuwaje....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…