Mia tano ya miaka gani hii

Hiyo ni kama elf5 ya sasa miaka ya Elfu moja mia tisa tisini naa
 
Kama unayo, ikunje vizuri nenda nayo dukani usiku hasa kama muuzaji ni mtoto utapewa vitu vya thamani ya elfu tano
Hizi ndizo akili za CCM. Waziri kapanda gari la milion 500 na msafara wake wanaenda kuzindua kisima cha milion 5.
Unaona ufahari kumtapeli mtoto?
 
Hiyo imetumika sambamba na miambili ya noti kama sijakosea ilikuwa wavuvi na wa dagaa.Nilipewa sana hii noti kipindi nasoma
 
Hizi ndizo akili za CCM. Waziri kapanda gari la milion 500 na msafara wake wanaenda kuzindua kisima cha milion 5.
Unaona ufahari kumtapeli mtoto?
Aanh aaanh, kwahiyo ukiwa na gari la milioni 30 usiende kutembelea wakwe zako kwasababu hawana laki 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…