Mia tatu kukosa mikopo HESLB

ni kweli nimesikia kwenye taarifa ya habari leo! ila wamesema waliokosa ni wa kuanzia mwaka wa pili na kuendelea!
 
hawafai watoto wao wamewapa tayar ndo wanaleta ujnga ujnga wao hapo watoe bhax hayo majna o kuruxha wa2 vroho juu
 
Aaaaaaaaa habar nyingiiiii........kama ipo ipo2 na kama haipo haipoooooooo
 
kwa waliokosa mkopo na wamepata chuo ni nini wafanye ili waweze kupata na waende vyuoni? mimi ni miongoni mwa waliokosa na ninafikiria hata kuahirisha chuo. Nimepata chuo UDOM, BACHOLER OF EDUCATION WITH ICT naomba msaada wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…