'Miafrika' ilipigwa lini/wapi teki na 'Mizungu'?


Aaah kumbe source yenyewe ni Wikipedia. Hii siyo ya kuaminika sana. ngoja niangalie kwenye nyenzo zangu za World Book Encyclopedia na Britannica manake naanza kunusa walakini ingawa Bob siyo kilaza by any measure.
 
Nyani Ngabu,
Mkuu ni kweli mzee Mugabe kasoma na nadhani ndiye kiongozi msomi kuliko viongozi wote wa bara Afrika.

Wanabodi,
Mnakumbuka mwaka jana tu tulikuwa ttukiwalaumu Wazimbabwe kwa uvivu na utawala wa Mugabe.. Haya mshikaji wangu yuko Harare anananimbia maduka sasa yamejaa vyakula, yaani lifeinarudi Zimbabwe...sasa mlokuwa mkisema watu weusi hawawezi kulima sijui, Mugabe ndio sababu kuwanya'nganya wazungu mashamba wakati weusi hawawezi kulima hizi historia zimeishia wapi?.... huo uvivu wa mtu mweusi umeishia wapi mbona leo sembe limejaa madukani sasa hivi... Yale madudu ya Mugabe alokuwa akilaani na kina Game Theory kutwa kucha hivi yameishia wapi!..Aaaaah! ndio tujue kuwa sisi bado kabisa ni bado tumo darasani, bado toddler tunalishwa kwa kijiko..hatujui kitu ktk ulimwengu huu wa Mafia..

Kama nilivyosemna toka mwanzo kuwa Zimbabwe iliwekewa Vikwazo, watu wakabisha wakakataa kuamini kabisa na hata wakafikia kuua ndugu zao kwa imani ya kutungiwa.
NDIVYO TULIVYO ni pamoja na kuamini sana mitungo ya nchi za Magharibi hata kama ukweli ni kuwa wanatufanyizia kwa maslahi ya nchi zao..
 
Last edited:
Aaah kumbe source yenyewe ni Wikipedia. Hii siyo ya kuaminika sana. ngoja niangalie kwenye nyenzo zangu za World Book Encyclopedia na Britannica manake naanza kunusa walakini ingawa Bob siyo kilaza by any measure.

Anazo saba. Hilo usiwe na wasiwasi nalo. Na kwa masomo ya njia ya posta alikuwa anamfanyia mkewe mitihani. Hivyo kama mkewe alipewa digrii, basi atakuwa nazo nane.
 

Mugabe sio kiongozi msomi, hila the most academically decorated.
 
Mugabe sio kiongozi msomi, hila the most academically decorated.
Navyokumbuka mimi alipata kama mbili degree akiwa jela! au ndio za kibongo mtu hawezi kupata degree akiwa jela au kupitia masomo ya mtandao/simu.
wakati wa Uhuru wa Zimbabwe sifa zote za usomi alipewa na viongozi wa kiafrika leo imekuwa tena maswala ya kujipamba!
 

Digrii zake alizisotea lakini sioni tofauti kati yake na mimi mbeba mabox .
 
Last edited:
Digrii zake alizisotea lakini sioni tofauti yake katika ya mimi mbeba mabox na yeye.
Haaa mkuu unasema kweli au unatania. Umeshaona castle analoishi kibabu huyu.. Mikaa 83 mzee anatunda tena ukisikia Simba wa Yuda ndio huyu, hachemshi kwa vipapi vya kishona...yaani sidhani kama kuna mtu anakula kuku kama mzee Mugabe na hivyo mambo yanarudi!...

Son of Alaska,
Mkuu ndivyo tunavyosikia..siku hizi ukiwa na digree nyingi za correspondence courses ndio kijiko!...wee kalia kusubuiri kuwa enrolled kambi ya UDSM...watu wanaondoka hivyo!
 
Da naona mumehamia kwa Msomi Mugabe. Mimi juma hili nimebanwa. Nipo na wafugaji waliofukuzwa Loliondo. Wameleta harakati zao jijini. Karibuni TGNP kwenye tamasha la jinsia muwaone wakikata ishu. Leo nimeikumbuka sana mada hii nilivyokuwa nao - hakika wanachanganya usasa (modernity) na uzamani (tradition) katika namna ambayo ni modeli nzuri sana ya maendeleo. Jamii nyingi sana zimesahau modeli zao za asili (prototypes) kutokana na ukoloni ndio maana zinaishia kuwa kasuku tu wa kuiga vya nje kwa kasumba bila kuleta maendeleo yanayoendana na hali halisi. Tujifunze kutoka kwa hawa wenzetu maana wao kama jamii ndio 1 ya 10 ya jamii zetu.
 

...unapiga mdomo tuu wakati Bongo hujakanyaga mwaka wa 15 sasa,shuka ground ndio uanze kuimba nyimbo zako za kulaumu waafrica kila kitu.
 
...unapiga mdomo tuu wakati Bongo hujakanyaga mwaka wa 15 sasa,shuka ground ndio uanze kuimba nyimbo zako za kulaumu waafrica kila kitu.

Nitafutie na mimi kama lile bonge lako la makaratasi ili niweze kuteremka bongo angalau nikapaone..
 
Nitafutie na mimi kama lile bonge lako la makaratasi ili niweze kuteremka bongo angalau nikapaone..

..kazi ndogo hiyo wewe utasaidiwa na sio bonge nitakupatia model chotara wa Ethiopia na mama wa kizungu nina uhakika kama hujaoa ndio atakuwa mkeo for good,lakini acha kulaumu waafrica kwa kila kitu maana wanajitahidi kwa uwezo wao maana mafisadi na hali ngumu ya maisha vinawarudisha nyuma!
 

Nitumie picha kwenye PM...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…