Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wazee wa JF.
Nakumbuka 2014 September, Tim Cook alipanda stejini na kutangaza simu mpya mbili, iPhone 6 na iPhone 6 Plus.
iPhone 6 ilianzia $199 kwa 16 GB na 6 Plus ilianzia $299 kwa 16 GB.
Bei ya juu kabisa ya 6 Plus ilikua ni $499 yenye 128 GB.
Mwaka huu, September yule yule CEO wa Apple katutangazia iPhone nne, iPhone 16, 16 Plus, 16 Pro, na 16 Pro Max.
iPhone 16 ya GB 128 ndio ya bei ya chini kabisa $799 na iPhone ya bei ghali ni iPhone 16 Pro Max ya 1 TB kwa $1,599 tu!
Sijui hizi bei zinaendaje, mfano miaka 10 ijayo.
Ngoja nitafute hela.