iPhone 6 Plus iliuzwa kwa bei ya $499 ikiwa tu mnunuzi ataingia mkataba wa miaka 2 na mtandao wa simu husika. Bei yake bila contract ilikuwa ni:
iPhone 6 (16GB): $649
iPhone 6 (64GB): $749
iPhone 6 (128GB): $849
iPhone 6 Plus (16GB): $749
iPhone 6 Plus (64GB): $849
iPhone 6 Plus (128GB): $949
Ninakumbuka kabisa mwaka huo ninatafuta simu ya kununua, ingekuwa $199 wote tungekuwa na iPhone; kwa kuwa kipindi hiko USD 1 ilikuwa kama 1600 Tshs hivyo hiyo iPhone ingekuwa inauzwa kwa 320,000.