SoC04 Miaka 10 mpaka 25 tukiboresha haya hasa kwenye kilimo

SoC04 Miaka 10 mpaka 25 tukiboresha haya hasa kwenye kilimo

Tanzania Tuitakayo competition threads

hauleibrahim

Senior Member
Joined
May 17, 2024
Posts
183
Reaction score
125
Kilimo:ni utajiri na chakula Kwa binadamu wote Kwa Tanzania.

Kilimo kinalisha watu wote Tanzania pia kilimo kinatajilisha watu waliomo humo kwenye kilimo hicho hicho.zipo njia baadhi zikitumika ki ufasaha zitabadiliaha sekta ya kilimo ndani ya miaka kumi mpka 25 ijayo kama njia hizo zitafutwa vizuri na kutekelezwa vizuri lazima tupate mabadiliko hayo.

1.tutoe elimu ya kilimo biashara.hili ni jambo muhimu Kwa serikali kupita mikoa yote ya kilimo haswa kutoa elimu ya kilimo biashara Kwa vitendo hii itahamasisha vijana na wazee kupenda vilimo zaidi.

2.ziwepo maabara za kupima udongo: kila mkoa wenye shughuli za kilimo haswa.maabara hizi zikiwepo kwenye mikoa yenye vilimo zitarahisisha watu kupima udongo ki wepesi tofauti na sasa udongo mpka upeleke sua au Tanga Nako unaenda kukutana na foleni za walio wahi kupeleka ila kama zitakuwepo hizi maabara kila mkoa wenye shughuli za kilimo itarahisisha wepesi kufikiwa na pia itachochea watu kupima udongo mara Kwa mara ili kujua mbolea gani au madini gani yamepungua kwenye ardhi yake akinunua mbolea anunue mbolea yenye madini gani.

3.viwepo viwatilifu vinavyo endana na nguvu ya wadudu waharibifu wa mimea shambani: serikali na wadau wapambane kupata viwatilifu sahihi vyenye kuendana na ubora wa wadudu waharibifu wa mimea shambani ili kilimo kiwe na tija Kwa mkulima kwenye kupata mazao.

4.mbolea muhimu zipatokane kila mkoa wenye shughuli za vilimo: ni vizuri seriKali na wadau wa kilimo wakafilisha mbolea aina zote muhimu kwenye kilimo kila mkoa wenye vilimo sana ili kumrahisishia mkulima kupata mbolea na viwatilifu Kwa haraka ahitajipo kuvitumia shambani kwake.

5.tuwe na wataalam maalum wa mbolea na viwatilifu:ni vizuri tuwe na wataalam walio bobea jambo moja kumrahisishia kufanyika jambo sahihi bila kuvulugwa mambo Kwa mkulima anae taka kulima asie na elimu ya kilimo.iswepo hali ya mtaalam mmoja ana taaluma mbili za madawa na mbolea hii Kuna wakati inaumiza watu wanaolima kutokupata elimu ya kitu Kwa upana sahihi.

6.tuwe na wataalam maalum waliopata mafunzo ya vilimo biashara Kwa vitendo nchi zilizo endelea Kwa vilimo na teknolojia ya kilimo biashara:hapa tukiwa nao hawa wataalam walio bobea itarahisisha Kwa wakulima kupata data sahihi Kwa mtaalam kuliko kama ilivyo Sasa ni data tu zinatokewa zisizo akisi utendaji kazi wa mtaalam shambani anako toa elimu hiyo Kwa mkulima
 
Upvote 2
viwepo viwatilifu vinavyo endana na nguvu ya wadudu waharibifu wa mimea shambani: serikali na wadau wapambane kupata viwatilifu sahihi vyenye kuendana na ubora wa wadudu waharibifu wa mimea shambani ili kilimo kiwe na tija Kwa mkulima kwenye kupata mazao.
Na dozi zake ziendane na ukweli asee.

Inashangaza unakuta mkulima anazidisha sumu na ukimuuliza anasema 'ukifata walivyoandika madudu hayafi' hatari hii.
 
Na dozi zake ziendane na ukweli asee.

Inashangaza unakuta mkulima anazidisha sumu na ukimuuliza anasema 'ukifata walivyoandika madudu hayafi' hatari hii.
Uzuri nakifuatilia kilimo sijakiishi sana ila natamani ningekuwa napat mahali nasema alafu nasikilizia na vinatendewa kazi ila tunaishia kuandika jamii forum,fb na x ambako mpka andiko liwafikie wahusika n mlolongo na pia kuwa fikia n moja wayaelewe mawazo yako hiyo ishu nyingine ila acha niandike wasipo soma na yasipo wafikia ila yawavushe wnao taka kuingia kwenye vilimo wawe n tahadhari zote
 
M
Na dozi zake ziendane na ukweli asee.

Inashangaza unakuta mkulima anazidisha sumu na ukimuuliza anasema 'ukifata walivyoandika madudu hayafi' hatari hii.
Mambo ni mengi ukisema niandike unaweza kusema nina ugomvi n wizara ya kilimo au waziri w kilimo
 
Back
Top Bottom