Naona leo wanisaliti mchana.. vitabu utaviskia kwenye bomba
Sasa haya mambo ya kufanyiana makusudi, unachange username kila siku...!Naona leo wanisaliti mchana.. vitabu utaviskia kwenye bomba
HahahahahaHongera na wewe jamani mdondo wangu miaka 9 uliyo nayo jf sio midogo hata
AiseeeeHongera mnooo na mimi nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe
Nilikuambia umetaka ndoa ya kufanyiziana visasi nami nimekufanyizia..Sasa haya mambo ya kufanyiana makusudi, unachange username kila siku...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ko mimi ndo sipewi zawadi?!Insta babe zawadi yako bado ipo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha I'd hii hii namtania tu
[emoji848]Acha niendelee kusubiri tu hakuna namna
Lakini si tulikubaliana kuwa ile iwe ya mwisho?Nilikuambia umetaka ndoa ya kufanyiziana visasi nami nimekufanyizia..
Vinci will last forever.. After 2weeks vinci will be back
Ebu ukoooAiseeee
Aisee hayaVinci will last forever.. After 2weeks vinci will be back
Ndio ndioHahahahaha
Na kweli mamaa, miaka 9 sio haba!!
Asante sana jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sanaKo mimi ndo sipewi zawadi?!
Naomba umkabidhi insta babe aniletee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama nakuona chaumbea wangu[emoji848]
Kwamba uko na I'd nyingine eti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa unaharibu bana, hutaki nikuwe mkongwe?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ebu ukooo
Naomba zawadi ya kuvumilia JFNdio ndio