Miaka 10 ya JF, nilikuwa sijajua hata kubeep mimi kaka!! Nipe zawadi tuu ya kunitia moyoAisee! Kweli ukubwa jalala
[emoji1787]Meno yangu tayari mabovu, hamna shida kabisaa
Ulisikia wapi hiyo sauti mkuu[emoji1787][emoji1787] Fanya kuapdate app yako
Sitaki mimi akiniwekea heinekenn cake utakula wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe hutaki keki
Ile siku ya birthday yangu bwana akanipa zawadiUlisikia wapi hiyo sauti mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kabisa sauti ya kubembeleza unajiuliza huyu mtu muhenga au vipi
HahahahahahaNa mimi bado nataka kula utamu menopause iniache kidogo jamani
Hahahaha nani huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wapi huwa mnazisikiliza etii!! Kuna mtu natamani nisikie sauti yake
Hebu hukooWoyoooooo
NdiwoooKhaaaaa dompo tena
[emoji23]Hebu hukoo
AiseeeeeehEbu ukooo
Mimi nakudai wewe apoSi unajua mimi siwezi kudai
Na wewe unaamini kabisa sasa RRONDO nitaonana nae wapiiiNdiwooo
Mbona unampa RRONDO
Vipi tena jamani mamii[emoji1787]
Hahaha...Meno yangu tayari mabovu, hamna shida kabisaa
EeeehhhSitaki mimi akiniwekea heinekenn cake utakula wewe
Zawadi ya sauti dada?!Ile siku ya birthday yangu bwana akanipa zawadi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha nani huyo