Ha ha ha imelenga mle mle. Nikicheki Omotola na posts zako dah
You still look hotRole model wangu nataka kuzaa watoto si chini ya watano na still nilook sexy and attractive sasa hivi nina wawili, bado watatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba basi hela pacha, ukitoa utabarikiwaKutoa ni moyo....ukitoa utaongezewa
Doh nina nini mimi[emoji16][emoji16][emoji16] hata mtu angesema anilipie nitamuomba anipe tu hiyo laki ninunue mboga
Nimeangalia mimi na wewe tumepishana kujiunga humu miezi mitatu tu [emoji3][emoji3][emoji3] mbali sanaNikifikisha miaka 10 humu nitakutumia hela ya mboga dada [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera jamaniMarch hii uzima ukiwepo nitakua na 12years humu ndani na Siku zote nikiwa active member!! Duh! Hongera sana RRONDO
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera na wewe jamani mdondo wangu miaka 9 uliyo nayo jf sio midogo hataHongera sana kaka!
Happy New year!
Dah..mimi mwaka wa 23 huu...sijapata pm ya mdada yeyote humu [emoji2960]Dah hongera boss mimi nina mwaka wa sita kwa id hii baada ya id ya zamani kuibiwa!
Ila sijawahi kupata rafiki wala pm yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] pacha dunia ya leo usipokuwa mjanja utajikuta unaliwa tu kimasihara hadi mvi zinaotaπ π π π Pacha ukiwa mjanja sana hutapata mume....sometimes jidai zoba
Mimi nikikutumia pm si unakaushaDah..mimi mwaka wa 23 huu...sijapata pm ya mdada yeyote humu [emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Unajua za kimasihara zimezaa ndoa nyingi sana?![emoji3][emoji3][emoji3] pacha dunia ya leo usipokuwa mjanja utajikuta unaliwa tu kimasihara hadi mvi zinaota
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijui [emoji23][emoji23] kimasihara hata ndoa itakuwa ya kimasihara hivyohivyoUnajua za kimasihara zimezaa ndoa nyingi sana?!
Hapana, sometimes unatamani kimasihara then unagundua hii si ya kimasiharaMimi sijui [emoji23][emoji23] kimasihara hata ndoa itakuwa ya kimasihara hivyohivyo
Sent using Jamii Forums mobile app