Ahsante sana bro.Frankenstein uko vizuri, asante
Ni mara chacheHapana, sometimes unatamani kimasihara then unagundua hii si ya kimasihara
Hahaha!!Dah..mimi mwaka wa 23 huu...sijapata pm ya mdada yeyote humu [emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Hahaha I'd hii hii namtania tuHa ha ha kumbe miaka 9 kwenye ID ileeeee
Mpaka nimesahau usinifanyie hivi insta babeInsta babe zawadi yako bado ipo
Acha niendelee kusubiri tu hakuna namna2020 mambo mapya
Hahaha mimi siko vizuri kabisa kwenye kubeti[emoji16][emoji16]Chache unaweza kuwemo
Hilo ndilo la msingi kiongoziHa ha ha mimi ni tafsiri sahihi ya raia mnyonge. Tutafute hela
Hivi ndoa yetu bado ipo au ishakufa...?
[emoji3][emoji3][emoji3] sawa ila mimi sio mtu anapenda adventures, hii ocean ninayoiona hapa nikiwa hapahapa ufukweni inatoshaYou can't discover new oceans if you don't have the courage to lose the sight of the shores
Duh, tulishawahi kupanga ndoa mimi na wewe?Hivi ndoa yetu bado ipo au ishakufa...?
Pacha mgumu sana. Be flexible[emoji3][emoji3][emoji3] sawa ila mimi sio mtu anapenda adventures, hii ocean ninayoiona hapa nikiwa hapahapa ufukweni inatosha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] hamna, labda mshamba tuPacha mgumu sana. Be flexible
Nani hao wanapenda washamba? Wewe? Sasa huo ushamba si ndio unamfanya mtu awe rigid?Washamba ndio wanapendwa, wewe mgumu...rigid