Ben Mugashe
JF-Expert Member
- Oct 9, 2008
- 999
- 617
Hongera mkuu...Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani. Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala. Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana.
.......Miaka 10 bila kupigwa BAN.....
Labda hiyo ndo siri ya kudumu hapamiaka 10 mkuu lakini una mabandiko 900 !!!!! hustahili pongezi zaidi ya ban ya daima
Mtani unamiaka mingapDuuh! Hongera zako Mkuu.
Namie natamani ID yangu ije ifikishe hizo miaka japo bado sana aiseee.
Minne na nusu Mtani.Mtani unamiaka mingap
Hongera na Mimi kama sio bun na kubadili ma Id ningefikaMinne na nusu Mtani.
Hahaaa. Yabidi uibembeleze hii ya sasa Mtani ili nayo ifikie hatua ya kuzeeka.Hongera na Mimi kama sio bun na kubadili ma Id ningefika
Yan acha mpaka hua naogopa kuanzisha uzi achana na zinazo futwa kama nimebaki mchangiaji tu jf mtaniHahaaa. Yabidi uibembeleze hii ya sasa Mtani ili nayo ifikie hatua ya kuzeeka.
Hahahaaaa. Lol.Yan acha mpaka hua naogopa kuanzisha uzi achana na zinazo futwa kama nimebaki mchangiaji tu jf mtani
Asante mtani id ninayo hii moja tuHahahaaaa. Lol.
Pole sana Mtani kuwa mpole / fuata sheria za humu kama Mie Mtani wako hapa ili udumu na id moja banaa.
Miaka 10 si haba. Ngoja nami nipambane. Kwa namna navyokujua kila mwaka umekamata wachuchu 6. Hii ina maana nina mashemeji 60 hapa JF.Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani.
Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala.
Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana.
....Miaka 10 bila kupigwa BAN.....