Ben Mugashe
JF-Expert Member
- Oct 9, 2008
- 999
- 617
- Thread starter
-
- #301
Besiday tena? Mentor hauminiki kabisa 2018 umeishaimbiwa mara ngap??
Akuuu naogopa!!!Hahahaha, we hutaki kukaguliwa?
HahahahaAkuuu naogopa!!!
Tutaifanyia Escape kama kawaida?
Thats my girl!Hapana babu
Babu tuko mloglo tunasherekea haukupata mwalikoTutaifanyia Escape kama kawaida?
Hapana... nilikimbia kandambili asee...Kumbe unakimbia watu babu.
Hahahahaha dah! Anko mi simo bhana...
Endeleeni... Mi siko na nyie.Babu tuko mloglo tunasherekea haukupata mwaliko
Hahahahaha. Dulla Makabila[emoji13] [emoji13] [emoji13]Mkulya wa Pili kuimba taarabu baada ya yule Dada
Ni mtumishi wa Mungu kwa sasa.Mabazaz hawa na Kiongozi wao Nicas Mtei
Nimetengua kauli mdogo wangu!KakaKiiza ujue mimi mdogo wako
Ajaenda jando ndo maana kifua hana!Mamaaaaaye Steve mambo ya Ngomani yaache ngomani... huku watu tuna HISHMA ZETU
Me verified user sisemi uongo kamwe, ukibisha naleta visibitisho.Mamaaaaaye Steve mambo ya Ngomani yaache ngomani... huku watu tuna HISHMA ZETU
Niujanja verifiedMe verified user sisemi uongo kamwe, ukibisha naleta visibitisho.