Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Miaka sita bila kupigwa BAN Hebu Moderator nipige BAN kidogoLeo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani.
Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala.
Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana.
....Miaka 10 bila kupigwa BAN.....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahaha, mmetoka kino,mkaenda kigamboni na sasa safari korogwe
Hajaruhusu bado lakiniNimemuahidi babu kuwa sitomuangusha.
Hamna shida. Ngoja nimpatie zawadi yakoMsigua ww mpwa wangu huyu waweza mtunuku kwa niaba
MarahabaaaDa Koku shikam..ooo
Huyu Mpwa wake Aspro sahv anachimba madini ameachana na habari za mawinguni radio??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Habari za Kinshasa mkuu[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
mimi mwanzo nishakula sana BANLeo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani.
Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala.
Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana.
....Miaka 10 bila kupigwa BAN.....
Mitandao yote imeanzia Dar huko mikoani mmeiga juzi kati ahahahhaNa daresalama umeishi miaka mingapi ?au we sio mwanaume wa dar?
Hahahahahaaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Habari za Kinshasa mkuu[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Kwa kweli siyo kwa kupotea huko. Naona huko msituni kuna fursaHuyu Mpwa wake Aspro sahv anachimba madini ameachana na habari za mawinguni radio??
SabarnuriDada mkubwa...sabalheri!
Pole Braza Mwenyekiti labda anataka kuomba uanachamaNaona unanitafutia kunichafulia jina mkuu!
Pole Braza Mwenyekiti labda anataka kuomba uanachama