Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
Ngoja waje wanachama wenzio mie nilishazeeka nikawaachia chama natumika na Mdogo wangu Nicas MteiUanachama wa nini? Mimi ni mwenyekiti wa nini?
Au anataka kuja jumuiya?
Ngoja waje wanachama wenzio mie nilishazeeka nikawaachia chama natumika na Mdogo wangu Nicas Mtei
Rudisha kondoo wa Bwana Kundini.. itapendeza kama tutaharikwa mimi na watumishi wenzangu tuje kusambaza upakoMnatumika kigango kipi?
Mimi nilihama parokia ya Kigamboni kwa sasa nahudumu parokia ya Sinza huku kuna wapotevu wengi!
Samahani mkuu sio lengo [emoji23][emoji23]Naona unanitafutia kunichafulia jina mkuu!
Waambie kabisa hao.. hvyo sio vyeo vyako wanakusingiziaUanachama wa nini? Mimi ni mwenyekiti wa nini?
Au anataka kuja jumuiya?