Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ahsante ndugu yangu najikongoja na mie nije kufikia miaka kama ya hao wazee hapo juu. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mwakani nami natimiza miaka 10 ,asee
Insha Allah. Mzima lakini weye?Hahahaha
Tuombe uzima tu utaifikisha
Insha Allah. Mzima lakini weye?
Bday hapana, miaka ya kuzaliwa tu si sheherekei itakua hii?Usisahau kufanya bday sasa
Hahahaha, mtani kumbe unajua ,haya makitu mm siyawezi
Mie Alhamdulillah. Nipo nashangaa shangaa tu huku mwaya.Mzima dada akee hofu kwako tu
Hongera!!!Mwakani nami natimiza miaka 10 ,asee
Hahahaha, mtani bana,wapi kuna bonge la kufuli?Sijui hata dada ngoja nikamchungulie kama hajafunga kuona kwenye threads maana kule kungine huwa kuna bonge ya kufuli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mtu chake.
Hahahaha, Asee si kweli banaPm kafunga atakuwa anasumbuliwa sana
Na kweli aiseee.Pm kafunga atakuwa anasumbuliwa sana
Hapo kwenye mapesa dada akee ndio umeongea haiwezekani ujue ufunge pm bila sababuNa kweli aiseee.
Dada au ana mapesa mengi huku anaogopa atazihonga zote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivyo anaona ajifungie tu kukwepa vishawishi.
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]