Wamkute sasa wa kuwajibu utatuma pm zako upambane na hali yakoHahahaha, vzr vijana watakuja kuuliza uwape majibu
Kaza Buti Mkuu, 10 years ni kesho tu utafika panapo uzima ( In Shaa Allah)Duuh! Hongera zako Mkuu.
Namie natamani ID yangu ije ifikishe hizo miaka japo bado sana aiseee.
Yupo ukigonga mlango anakufungulia π π πOoh. Ya kweli hayo Mtani.
Mbona sijamuona hata angalau nimuulizie kama upo? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kasoro Chairman na Katibu ndo bado hawajaibuka.
Cc Jiwe Linaloishi unaitwa hukuKasoro Chairman na Katibu ndo bado hawajaibuka.
Hili liweka hazina la Mabazazi tunahasira nalo kinoma. Leo limeamua kuibuka hapa JF baada ya kusepa na mdudu wa mtu miezi miwili, limemfungia Namnani huko. Falasi sana hili jamaaa lako
Sema Mkuu
Umri wangu hauniruhusu kukata kekiBabu mwaka huu haujafanyiwa Besidei?
Mzee mwenzangu keki na konyagi vinaelewana kweli ?Umri wangu hauniruhusu kukata keki
Mkuu nakuonaSema Mkuu
Na mm nakuona karibu ktk maongezi ya mchana mwemaMkuu nakuona
Umesahau na hiki kichwa cha ukweli kipaji@halisiCc Jiwe Linaloishi unaitwa huku
Mi mtazamajiNa mm nakuona karibu ktk maongezi ya mchana mwema
Na kuna kibazazi kingine kinaitwa Mentor ... chenyewe kinakula kimyakimya kama nyauHivi Nicas Mtei yuko wapi last time alikua na project bagamoyo nadhani
Hahahaaa. Lol.Hata mm dada daaah
Duuh! Yabidi ndugu japo safari ni ndefu pia.Kaza Buti Mkuu, 10 years ni kesho tu utafika panapo uzima ( In Shaa Allah)
Ndo namshangaa huyu bazazi ananihusisha na sherehe za soda na kekiMzee mwenzangu keki na konyagi vinaelewana kweli ?
πππππ lol.Wamkute sasa wa kuwajibu utatuma pm zako upambane na hali yako
Hahahaha, hapo ni sawa na kufunga tuWamkute sasa wa kuwajibu utatuma pm zako upambane na hali yako
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol.
Kwa kweeeli (kwa sauti ya joti) Dada