Miaka 10 sasa jukwaani

Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani.

Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala.

Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana.

....Miaka 10 bila kupigwa BAN.....
miaka 10 jukwaani na like 95
 
Leo nimefikisha miaka 10 kuwa hapa jukwaani.

Niwapongeze Viongozi wa JF kwa kusimamia vizuri mijadala.

Niwakaribishe wageni wote tuendelee kuhabarishana bila kukashfiana.

....Miaka 10 bila kupigwa BAN.....

Hongera pacha..nami baada ya siku nne nitatimiza miaka 10 kwa ID hii.

Cc: Maxence Melo - naomba keki.
 
Yaani huwa tunazipunguza maana zingekuwa zinaisha kabisa tungekuwa mikoani huko tunalima korosho. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa
Nimeipenda hiyooo Mkuu. Haya poaa tuendelee kuzipunguza kabla ya muda wa kurudi makwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…