Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mwaka huo wa 1924 mwalimu Nyerere alikuwa na umri wa miaka 2 tuu.Katika hotuba yake ya kuaga Diamond Jubilee Hall mwaka wa 1924 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alimtaja Abdul Sykes.
Anti...Mwaka huo wa 1924 mwalimu Nyerere alikuwa na umri wa miaka 2 tuu.
Wewe ulikuwepo?
Au ni typing error?
Abdul Sykes si chochote si lolote katika nchi yetu ya maziwa na asali.Katika hotuba yake ya kuaga Diamond Jubilee Hall mwaka wa 1985 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alimtaja Abdul Sykes.
Mwalimu alipita njia tu hakumweleza Abdul Sykes alikuwa nani katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.
Naweka kipande kifupi kutoka mahojiano niliyofanya na Rashid Mtagaluka wa MUM FM mwaka wa 2018 kuadhimisha miaka 50 ya kifo Cha Abdul Sykes:
Wamekula raha Sana tanzania kipindi chaoAbdul Sykes si chochote si lolote katika nchi yetu ya maziwa na asali.
Huyo mtu unayemuona wa maana na hadi unatamani kumuabudu ndiye si chochote si lolote alikaribishwa tu kwenye chama na kuaminiwa na wenzake lakini mwishowe alipofanikiwa akawageuka wenzake.Abdul Sykes si chochote si lolote katika nchi yetu ya maziwa na asali.