Miaka 100 ya Parma...hawa ndio nyota waliopita Klabuni hapo...



Ha h hah hah hah Hidetoshi Nakata...dah
 
Bila shaka hidetoshi nakata..

Pia kuna mjomba patrick mboma.
 
Faustino asprilla.. hiki kiumbe ni nyoko, ni aina ya strikers ninaowapenda mimi, ulikuwa huniambii kitu kwa huyu mtuu,

Juan sebastian veron.. mchawi wa kiargentina ni balaa, achana na kwenda man u na chelsea huko, huyu mtu alikuwa nux, pale kati anakichafua kweli kweli..

Fundi ortega,ni fundi kweli kweli nakosa chumvi ya kupunguza kwa huyu jamaa..

Marco di vaio mshambuliaji nguli

Dino baggio

Hernan crespo argentine moja hii chelsea ya mourinho alienda kwa jirani zangu palr darajani

Alberto gillardino kuna jamaa wa timu fulan wanamjua huyu

Giofranco zola huyu jamaa huyu alikuea ni balaa, anaujua mpira kama kazaliwa nao

Cannavaro, thuram(kizazi cha wafaransa walichonufaika nacho)

Gigi buffon, huyu mzee namkubali mnoo

Hideotoshi nakata 7 mgongoni, bonge la duku kichwani..

Mwisho mweusi mwenzetu babu mboma.
 

Dah mkuu walikuwa ni balaa aise....Crespo mzee wa kutupia kamba nilikuwa namkubali mno pale chelsea,, alikuwa hana utani na goli....ortega na Pablo aimar kipindi hicho walikuwa midfielder bora kwangu na sijaona wakariba yao akifuatiwa na Juan sebastian veron....Zola katika ubora wake nilikuwa nampenda mno huyu jamaa,, alikuwa hana utani uwanjani wala kutikisa mitako na kukatika miuno hovyo uwanjani..Buffon katika ubora wake huyu jamaa sipati picha angekuja Barcelona tungempokea kwa shangwe....canavvaro na iniesta nawakubali sana lakini kwa MESSI walisarrender,,, Messi aliwadhalilisha mno,, ni heri wasingemfuata kumkaba ikawa salama yao.
 
Parma , ya kina buffon nayo ilikuwa kali,

Dah nilihuzunika iliposhushwa daraja kisa ukata,

Ila naona msimu ujao inarud SERIE A
 

Mshakaji vipi ushapiga tungi au? unakusudia nini hapo?
 
Kuna mtu anaitwa Tomas Brolin. Insakitisha sana sijaona kutujwa humu.

Vijana vipi hamumfahamu au vipi
 
Mkuu Dos Kivipi? Messi aliwafanya mbaya hao niliowataja,, kama unabisha haya,,, ukweli ndio huo na clip ipo

Tupe clip mkuu,
Nesta wa miaka 36 alimkalia messi onform na akampoteza uwanjani.
Kwa cannavaro inawezekana kipindi ambacho alimalizia mpira wake real madrid veterani lakini sio wakati yupo inform.
 
Pablo aimar.. hiki kiumbe kilikuwa nux, juzi nilikuwa naangalia marudio ya game ya zaman valencia vs madrid, pablo aimar alikuwa hatar mnoo, japo alipata kadi nyekumdu, game iliamualiwa na mtu mzima zidane, madrid walikuwa wanapumulia mipira tuu.
 
Bwana hiki kiumbe messi kwa dunia ya sasa hana mpinzani... Huyu njiti ni nux
 
Pablo aimar.. hiki kiumbe kilikuwa nux, juzi nilikuwa naangalia marudio ya game ya zaman valencia vs madrid, pablo aimar alikuwa hatar mnoo, japo alipata kadi nyekumdu, game iliamualiwa na mtu mzima zidane, madrid walikuwa wanapumulia mipira tuu.

Nitammiss sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…