Kweli wapo hata hapa Tanzania.Ukitaka pata majibu mazuri tembelea mji wa Ifakara utapata majibu yako kiurahisi sana.miaka14 ana watoto wawili.
Kwa maisha ya sasa inakuja kabisa. mtoto anazaa mtoto.
Wasichana wanabalehe hata na miaka 9.
<br />yap unaweza kukutana na kitoto kinaongea mambo ya kikubwa na matt tayari yako chini
<br />
<br />
ila kuongea si kutenda.