Miaka 15 tukiwa Ikulu. Inshallah

Haibadilishi ukweli kuwa kwao ni Mkuranga, wala sio Zanzibar.
Nani mwenyeji Zanzibar kwani? Kule wengi wahamiaji tena wa miaka ya karibuni kama hao akina Mwinyi..

Halafu hoja yangu ipo kwenye ukazi wa sasa na wala si asili ambayo we unang`ang`ania,, kama ni asili basi hata hii Tanganyika karibia nusu wote wakuja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…