Miaka 16 imepita haijajulikana nani alimmwagia tindikali Saed Kubenea

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Wapelelezi wapo na wanakula kodi za Watanganyika. Zijui kuhusu za Wazanzibari.

Mpaka haijulikani nani alifanya jinai hii ya kumwagia mtu acid usoni.

Mbona majambazi wanayakamata kila siku?

Miaka 16?
 
Wapelelezi wapo na wanakula kodi za Watanganyika. Zijui kuhusu za Wazanzibari.

Mpaka haijulikani nani alifanya jinai hii ya kumwagia mtu acid usoni.

Mbona majambazi wanayakamata kila siku?

Miaka 16?
Huyu Kubenea ni kati ya watu ambao wananunuliwa na fedha. Mwaka 2006-7 alimwagiwa tindikali na watu anaowajua. Kisha wakampoza na fedha kidogo na kumlipia matibabu India. Tusimzingatie sana kwa vile Kubenea na Mbatia wana bei kama malaya wa Kimboka Bar pale Buguruni
 
Hatari sana.

Kwanini unataka tuamini hivi, Inabidi tuamini pia hata Lisu allipigwa risasi na watu anaofanya nao biashara na walimlipia matibabu pia Nairobi na Belgium plus posho yake ya ubunge.
Iwe hivyo hivyo kwa Mwakyembe pia, au sio.
 
Kila mtu ana bei
 
Wapelelezi wapo na wanakula kodi za Watanganyika. Zijui kuhusu za Wazanzibari.

Mpaka haijulikani nani alifanya jinai hii ya kumwagia mtu acid usoni.

Mbona majambazi wanayakamata kila siku?

Miaka 16?
Marekani pamoja na ubora wao kwenye issues za kiuchunguzi kupitia CIA na FBI mpaka leo hawajatoka hadharani kutuambia nani alimuua rais JF Kenerd,

Endelea kujifunza
 
Tumekosoma DCI wa JF
 
Pumbavu mkubwa. Shwaini hujawahi kuwa na akili.
 
Marekani pamoja na ubora wao kwenye issues za kiuchunguzi kupitia CIA na FBI mpaka leo hawajatoka hadharani kutuambia nani alimuua rais JF Kenerd,

Endelea kujifunza
Kenedy aliwawa na hao hao Americans
 
Hatari sana.

Kwanini unataka tuamini hivi, Inabidi tuamini pia hata Lisu allipigwa risasi na watu anaofanya nao biashara na walimlipia matibabu pia Nairobi na Belgium plus posho yake ya ubunge.
Iwe hivyo hivyo kwa Mwakyembe pia, au sio.
Tunaongelea Kubenea na siyo Tundu Lissu. Hicho nilichoandika ndiyo ukweli. Gazeti la Mwanahalisi mwanzoni likikuwa la yule mwanasiasa wa Zanzibar Hamad Rashid na kubenea alikuwa mhariri tu.

Ila baadaye alikuja akalinunua na ni la kwake hadi leo. Je unadhani hela za kununua gazeti alipata wapi? Ni sehemu ya hiyo fedha aliyofidiwa?

Kubenea ni mtu wa kufika bei, lolote anafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…