nilikuwa.nasoma kidato cha 5 ilikuwa asubuhi kama saa tano hivi/ tea break ikapgwa kengele tukatangaziwa. kuanzia hapo ikawa ni kula regge tu kwa kwenda mbele. katika mapumziko hayo mkuu wa shule alinunua mkanda wa video ya mazishi na tukalazimishwa kuangali.
mwanafunzi mwenzetu alikataa kutoa rambirambi kwamba ye masikini na mwanafunzi hawezi changia msiba mkubwa kama ule. japo tulimlaumu lakini jamaa alikuwa na hoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.