Miaka 2 ya Rais Captain Traole wa Burkina Faso amefanya maendeleo ya ajabu

"ghasia za wanamgambo wa Kiislamu zinavuruga"
Ndugu zangu katika IMANI, kwanini kila sehemu nyie ndio huaga kikwazo cha ustawi wa nchi? Hapa tena mnatajwa, mnamtumikia Mungu au shetani? Mna aleji na amani, ustawi wa taifa?? 😢 😭
 
Shida ya google translate, plant ikaitafsiri mmea bila kujali context kuwa ni kiwanda.
 
Unataa kuwaambia nchi za ulaya ambazo hazina maendeleo wamuige Traore?
 
Huyo ndo Rais anayejiewa sasa, sio huyu wetu aliyezingirwa na machawa manyonya kodi za wananchi!!.
 
Ushahidi uko wapi au unabwabwaja tu. Acha ushabiki km mwendawazimu
 
Majina yananguvu sanaa! Jina lenyewe Ibrahimu! Hili jina linahistoria kubwa
 
Na wewe hizo Propaganda za Wanajeshi kuchukua mamlaka ya raia ndio yamekuingia?
Bora kuwa mchaka mchaka kuliko kuwa na za kiraia halafu tume stuck, akili mgando tunaenda kununua umeme wakati tuna vyanzo
 
sankala amerudi tena,si tunayo yale machawa yanayopenda kusema mama mitano tena
 
Tuombe Mungu yafanyike na hapa Tanzania tupate maendeleo ya kweli.
 
Mkuu wetu alipopata nafasi hiyo akapaisha penati yake. Tutamlaumu sana hadi kesho
 
Inawezekana tatizo demokrasia ,yaani tumpate dikteta mmoja mwenye uchumi hapa miaka mitano nchi imenyooka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…