Miaka 2 ya Rais Captain Traole wa Burkina Faso amefanya maendeleo ya ajabu

Nilimkubali pale alikatalia ombi la Saudi Arabia kujaza misikiti kwenye nchi yake, ingesababisha uzombi.

Hata hivyo haya mafanikio umetaja humu ungeweka na vyanzo pia.
 
Na alifanya yote hayo ndani ya miaka 2 bila kukopa IMF, World Bank wala African Development Bank.
Njoo huku kwetu sasa: miaka 4 kelele nyiiiingi wakati deni limeruka hadi 110 trn, watu wananuka umaskini, kilichofanyika sasa mama weee
 
Wakuu aliyeona maendeleo ya ajabu hapo kwenye huu uchawa Ani tag 🤣🤣🤣🤣🤣

Kelele nyingi kukopa uhalisia,nyie mashabiki wake tembeleeni japo Togo na Benin mkajifunze maana ya Maendeleo badala ya kujazana ujinga wa hako kajamaa.
 
Na alifanya yote hayo ndani ya miaka 2 bila kukopa IMF, World Bank wala African Development Bank.
Njoo huku kwetu sasa: miaka 4 kelele nyiiiingi wakati deni limeruka hadi 110 trn, watu wananuka umaskini, kilichofanyika sasa mama weee
Nioneshe mambo ya ajabu hapo Ili na Mimi nijifunze.🤣🤣

🇹🇿 Sio ya kulinganisha na hako Kanchi ka mafukara ,sisi tunalinganishwa na giants wenzetu kina Ethiopia,Angola,Code Voire,Nigeria,Kenya etc.

Ingekuwa ni Burkinafaso hako kajamaa kangeenda kuzindua 🤣🤣🤣👇👇

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1867121282241773709?t=R4lIT4YDs6f02-lsrHgPXw&s=19
 
Son of bitch
 
Hakuna Nchi yeyote hapa Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara inayotekelezwa miradi Mingi na mikubwa kushinda 🇹🇿

Hizo zingine ni kelele za wajinga tuu
 
Mda si mrefu Wazungu watamuita dikteta watakuja watamkamata na kumuua na sisi wafrika tukiwa tunawashangilia Wazungu

Rejea Gadafi & Magufuli
 
huyo Ni kiongozi bora kwa wananchi wake kwani wanabukinafaaso wanampenda kwa dhati toka mioyoni mwao tofauti na wengine ambao uchawa mwingiiiii!!
 
UKO SAHIHI MAANA KULE HAKUNA NG'OMBE WA TRAORE, REDIO YA TRAORE, MAVI YA TRAORE, OGADUGUKAZI, WASANII WA TRAORE, MILION KUMI YA TRAORE
KWA UFUPI HANA MACHAWA WA TRAORE...
PALE NI KAZI KAZI
 
UKO SAHIHI MAANA KULE HAKUNA NG'OMBE WA TRAORE, REDIO YA TRAORE, MAVI YA TRAORE, OGADUGUKAZI, WASANII WA TRAORE, MILION KUMI YA TRAORE
KWA UFUPI HANA MACHAWA WA TRAORE...
PALE NI KAZI KAZI
Za kuambiwa Changanya na zako
 
Wabukinabe wanaraha kupata rais mzalendo. Maendeleo aliyoyafanya ni mara elfu Moja ya vijimaendeleo alivyofanya chief hangaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…