Miaka 2 ya Rais Captain Traole wa Burkina Faso amefanya maendeleo ya ajabu

Na bado nitafanya makubwa zaidi MUNGU akijalia ahsante sana kwa kutambua juhudi zangu
 
Vilivyoandikwa kufanyika vimefanyika ama havifanyika punguza porojo .....
 
Weka takwimu punguzeni lepelepe .....
 
If you are honest to yourself - you can create the same for Tanzania

Ni kwamba hahutaki tu - magu did it, samia is doing it
 
Utawala wa kijeshi haujawahi kushindwa .

Wanasiasa na marais wengi ni Machawa wa Mabeberu na mabenki ya nje
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣WATANZANIA SISI DAAH
 
Kuna uongo mwingi sana kumhusu huyo dogo kwenye mitandao.

Hana umahiri wala umahususi wowote ule.

Anapaishwa na trolls wa kwenye mitandao tu.
 
Absolutely correct Mkuu. Dogo ni kama kobe aliyepandishwa kwenye mti tu
Kuna uongo mwingi sana kumhusu huyo dogo kwenye mitandao.

Hana umahiri wala umahususi wowote ule.

Anapaishwa na trolls wa kwenye mitandao tu.
 
We kweli mchawi kabisa
 
Hamna kitu ni spinning tu. Unasema ni porojo kwa vile wewe siyo makini na international geopolitics
Tatizo ww shoga wa Mama Kiz mbishi unatumwa kuja kupinga dume zima unashindwa kufanya kazi za maana unashinda nyuma ya keyboard kuandika upuuzi
 
Tatizo ww shoga wa Mama Kiz mbishi unatumwa kuja kupinga dume zima unashindwa kufanya kazi za maana unashinda nyuma ya keyboard kuandika upuuzi
Tatizo ww shoga wa Tundu Lissu mbishi unatumwa kuja kupinga dume zima unashindwa kufanya kazi za maana unashinda nyuma ya keyboard kuandika upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…