Miaka 2 ya Rais Captain Traole wa Burkina Faso amefanya maendeleo ya ajabu

Umekopi kutokea wapi...AI uchwara ama zile encyclopedia za wazungu uchwara..
 
Umekopi kutokea wapi...AI uchwara ama zile encyclopedia za wazungu uchwara..
Kama una hoja kanusha takwimu hizo. Siyo umekula magimbi mchana huu unataka kushindana na watu wenye akili. Pumbavu zako. Leta hoja
 
ukiona kiongozi wa nchi wafuasi wake wanatumia nguvu nyingi kumsifia ujue hapo pana namna, Jamaa ni ni dikteta tu kama madikteta wengine.
 
Ni ujinga tu,Dr Samia kafanya makubwa sana,na kwa Sasa hv yeye ndiye Rais Bora Africa
 
Dogo yuko overated na hype kubwa kwenye mitandao. Burkinafaso ni ileile , haina amani kutokana na magenge ya uhalifu
Wanaume hatuoneani wivu tunasaidiana. Akaongoze mama yako tuone atachobadilisha
 
Ngoja wa Bukinabe wa kwa Mtogole waje sasa.............wanakosoa utafikiri wako Bukina faso
 
Asilimia 60 Burkina Faso ipo chini ya waasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…