Miaka 2 ya Rais Captain Traole wa Burkina Faso amefanya maendeleo ya ajabu

Kwani wewe umejisikiaje kuniita bwege mkuu.Wanakung'ata nini?
Mafukara, maskin na wenye low IQ kama wewe ndio hutukana ovyo. Pole sana. Tafuta pesa ziwe nyingi uache stress za kutukana watu ovyo. Kaa kwenye ignore list dogo Hadi ukipata pesa na kua civilized .
 
Ila marehemu naye kichwa yake ilikuwa inachaji hatari nadhani mikakati yake ilikuwa mikubwa
 
Mafukara, maskin na wenye low IQ kama wewe ndio hutukana ovyo. Pole sana. Tafuta pesa ziwe nyingi uache stress za kutukana watu ovyo. Kaa kwenye ignore list dogo Hadi ukipata pesa na kua civilized .
Pole mkuu sina hela lakini Nina vichenji vitavyoweza kumkidhi mama yako
 
I don't want to be remembered as the leader who takes pictures with the poor only during campaign seasons" - Ibrahim Traore
In a powerful statement, Ibrahim Traore, the military leader of Burkina Faso has highlighted that his leadership will be about genuine government and tangible development rather than about faked interactions with the poor for sympathy votes.
"I don’t want to be remembered as a president who takes pictures with the poor during campaign seasons, buys roadside corn, wears primary school uniforms, or pretends to drink garri just to gain sympathy votes.
My mission is to get Burkina Faso up from nowhere to somewhere," he said
Traoré’s remarks indicate his desire to leave traditional campaign tactics seen in Africa, where politicians execute symbolic acts of humility without making real change.
Instead, he wants to give economic reforms, social welfare, and infrastructure first priority to improve the country.
​
 
Safi SANA
 
Kuna ajabu gani Sasa hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…