Miaka 20 - 25 mbele naiona hatma ya ulaya kuamuliwa na UISLAM. mark my post!

Huyo mama Angela merkel kaweletea matatizo sana ulaya na hao wahamiaji.pengine kuna siri nyuma yake.
 
Reactions: Lax
Huyo mama Angela merkel kaweletea matatizo sana ulaya na hao wahamiaji.pengine kuna siri nyuma yake.
tanzania tunasema africa ni moja -- wao wanasema dunia ni moja



si ndo democracy? 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…