Miaka 20 ya Mr Blue kwenye Rap

Ni nani huyo dogo? Mkikaa tu na mtu mtaani mkazoeana naye mnakuja mwanzishia uzi. Nyie madogo jau sana
 
Kinachokushinda kutoboa Nini na dar kwenu, kina johmakini , Ay, fA, Afande walitoboa kwa kuja dar kwa tabu kinoma, mi ningekuwa kwetu dar Sasa hivi legendary.
 
Namfahamu Mr. bluu tokea akimbie shule akiwa fom tuu na nakumbuka wimbo wake wa tshirt na Jeans.

Namfahamu Mr. bluu aliyekuwa akilelewa na mama yake ambaye alitangulia mbele za haki more than five passed years.

Namfahamu Mr. bluu aliyefiwa na dada yake au mdogo wake maunda zolo.

Nakumbuka fununu mbaya za maunda na baba yake, though sijui ni za kweli kivipi.

Namfahamu Mr. bluu ambaye baba yake ana umwa sana tokea kifo cha binti yake.

etc
 
Kinachokushinda kutoboa Nini na dar kwenu, kina johmakini , Ay, fA, Afande walitoboa kwa kuja dar kwa tabu kinoma, mi ningekuwa kwetu dar Sasa hivi legendary.
Dar sio kwetu me wakuja tu.. okay, kifupi niliacha kufanya zaidi ya miaka 4 kama ulifatilia ishu ya mzee yusuf kuacha mziki na kurudi badae ile ni kama yangu kabisa, plus nilioa nahudumia family now so kujigawa inakua ngumu ila passion bado ipo nikipata mtu serious wa kuendesha social platform zangu naamini ntafika sehemu..sina muda wala ujuzi wa kucheza na hizo youtube na spotify na vingine ila hua na record navopata upenyo ntaku tag usikie kaz zang za karibuni mkuu, big up.
 
Mi nilifanya hiyo Mambo 2006 nilirekodi dar studio kubwa tu produza mkubwa, ndo hiyo sio kwetu, sister wangu alikuwa hapend nikija dar kunisemasema ndo kukata tamaa,, Mara kuolewa basi ndo hivyo Tena, Shem wako hapend hayo Mambo,
 
Nakuelewa aisee watu kibao hawafanyi kile wanachopenda toka moyoni sababu kukatisgwa tamaa na miaka kukimbia! ila ndo hivo ukiwa na uthubutu unafanya tu me hua nafanya kwa siri mana wife hataki kusikia! Kuna siku tutapiga colab ya jf ya kisiri siri ..usiniangushe mkuu 😂
 
Bibi sio kila uzi unakuhusu, tunajua 'unafahamu' mengi kumhusu ila sio dhambi kusikiliza.
 
We endelea kutafuta dhahabu, unachimba hujui jiwe utapata lini?, Mrisho mpoto katoka mtu mzima, RP Bibi cheka, jasiri haachi asili Jombaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…