Miaka 24 ya Daniel Arap Moi madarakani bila mke

Burundi
Kenya
Msumbiji
Senegal
Congo Brazzaville
Sudan kusini

Hizi nchi yani nahisi kama wanaishi ngedere tu
 
Inawezekana una tatizo la kusikia ama una uelewa duni wa lugha iliyotumika. Pole
Bro nimeisikiliza yote lugha hata kifaransa nakielewa cjaona habar ya fimbo kupandishwa ndege zaid ya document
 
Mambo ya kimila watabakinayo huku huku afrika, hiyo fimbo imemsaidia nini! Wengine wanazikana kwenye manyumba yao wakati kuna makaburi ya kuzikiwa, sometimes ni ujahili tu, aleyommba gekke bhabhaa ni ujahili tu
 
Never make a pact with the devil
 
fimbo yake iliwahi kuvunjika akiwa ulaya ikabidi aagize spare kenya.so fimba nyingine ikapandishwa ndege mpaka ulaya (ndege iliwashwa kwa ajili hiyo)
nimekumbuka story ya nyerere kuacha fimbo akikuwa mkutanoni UK walinzi wake wakashindwa kuinyanyua kumpelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…