Miaka 25 ya kujua kusoma

Miaka 25 ya kujua kusoma

Richruge

Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
67
Reaction score
12
Wakuu nawasalimia katika jina la JF ;
Napenda kuwashrikisha katika sherehe yangu ya Miaka 25 ya kujua kusoma.
Leo nimetimiza miaka 25 tokea nilipojifunza kusoma. Katika kipindi hiki nimenufaika sana. Nimeweza kukuza maarifa yangu katika nyanja mbali mbali.
Katika kusherekea Miaka 25 ya kujua kusoma nina kumbuka falsafa ya mwalimu wangu wa chuo kikuu cha dar es salaam; Dr. Comoro iiliyosema "soma kila kitu" (Read everything), ni falsafa ambayo imenisaidia katika maisha yangu. Nilipokuwa chuoni nilijitahidi kusoma matangazo yote niliyokuwa nakutana nayo, nikiwa mitahani najitahidi kusoma mabango yote ninayokutana nayo. Nawasihi muwe na utamaduni huu mtapunguza tabia ya kuulizauliza. Asanteni na karibuni tusherehekee.
 
Ngoja nami nifanye kalkulesheni yangu ni ngapi!
 
Mkuu nakupongeza sana na ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili na nakuahidi nitaufanyia kazi.keep on reading!
 
Back
Top Bottom