Ndeonasiae
Senior Member
- Aug 15, 2011
- 102
- 49
MziziMkavu unanipaga raha sana nisomapo koment zakoMkuu jaribu uwe unamchemshia Supu ya ulimi wa mbuzi awe anakunywa kila siku kwa muda kama siku 3. Au pia waweza
kutumia Dawa hii Umsugue kwenye ulimi wake, kila siku changanya Asali na chumvi umsuguwe kwenye ulimi wake kila siku asubuhi kabla ya kupiga mswaki au
tafuta Dawa hii inaitwa Udi karaha usage huo mzizi kishaa msuguwe kwenye ulimi wake kila siku asubuhi kwa muda wa siku 7
kisha njoo hapa utupe Feedback.@Ndeonasiae Pia waweza kumpeleka shule awe pamoja na watoto wenzie anaweza kuongea.
Tatizo lako liliwahi kumkumba son wangu, aliwahi kuota meno akiwa na miezi mitatu!! Akaanza kutembea akiwa na miezi nane lakini mpaka miaka mitatu na miezi mitano haongei hata kidogo zaidi ya kuita mama hata hivyo kilichokuwa kinanifurahisha ni utaalamu wake wa kuongea kwa ishara na utundu wa kimya kimya!!!
Nilimpeleka hospitali wakamchunguza masikio na koo wakasema hana tatizo nimtafutie watoto wenzie wa kucheza nae, akiwa na miaka mitatu na miezi saba nilimpeleka chekechea ambako ndiko alijifunza kuongea kwa bidii ili aweze kujichanganya vizuri na wenzie. Mpaka sasa ni mwaka mmoja tangu aanze kusoma anaongea vizuri kila kitu
huyu ni wa pili mkuuHuyo ni first born? anao watoto wenzie wa kucheza. kama hana fanya kama ulivyoelekezwa na mkuu hapo juu.
Huna haja ya ku paniki wala kuogopa, ni hali ya kawaida sana hiyo. Ataongea tu. Cha msingi uwezo wa kuongea anao ila hataki tu.
Kuna baadhi ya watoto huwa na aina fulani ya 'ukiburi' hivi hasa hasa wakiwa watoto wa mwisho, hii inaisha tu. Kama ulimpeleka hospitali wakaona hamna tatizo, acha Mungu afanye kazi yake tu na atakuwa sawa soon.
Kama ni wa mwisho mtafutie mdogo wake!
Hicho wameshamwangalia wataalamu, walimpima koo, masikio, wakacheki na ulimi hana tatizo kabisa.Waambie wamwangalie chini ya ulimi huwa kuna kinyama kinaunganisha ulimi na sehemu ya chini ya kinywa kikiwepo hicho kinasababisha mdomo kuwa mzito kuongea kuna mtoto alikuwa nako wa miaka 3 kakakatwa hospital ndo anajaribu kuongea mrudishe hospital watu wengi hawakijui hata mie sikuwa nafahamu
mzizi mkavu sometimes dawa zako huwa zinaniacha hoi
hahaha hasa hiyo ya ulimi wa mbuzi mtoto asije meeeh!:happy::happy:mzizi mkavu sometimes dawa zako huwa zinaniacha hoi
Tabia zake zilikuwaje? huyu ana afya nzuri kabisa na ukuaji wake haukuwa na shida hata kidogo, ana dada yake wa miaka 6.5 ambaye alikuwa na shida kwenye ukuaji ila anafanya vizuri sana shuleni, anaongea sana japo ni mwembamba sana, huyu wa miaka 3.5 hapendi kucheza na watoto wenzie na ikibidi kucheza anapenda kucheza na watoto wakubwa au watu wazima. wenzake wakichezea toys yeye ataenda kuchezea vitu kama gari, computer, tv radio etc na uchezeaji wake ni kama wa kuharibu huwa anapenda sana kuchunguza kila kitu ndani yake kuna nini kwa hiyo anavunja na kuharibu vitu. yuko shule tayari tanga April last year na malalamiko toka kwa walimu wake ni kuwa anakuwa kama anatafiti kila kitu yani hachezei vitu vya kawaida kama wenzie.
Tatizo lako liliwahi kumkumba son wangu, aliwahi kuota meno akiwa na miezi mitatu!! Akaanza kutembea akiwa na miezi nane lakini mpaka miaka mitatu na miezi mitano haongei hata kidogo zaidi ya kuita mama hata hivyo kilichokuwa kinanifurahisha ni utaalamu wake wa kuongea kwa ishara na utundu wa kimya kimya!!!
Nilimpeleka hospitali wakamchunguza masikio na koo wakasema hana tatizo nimtafutie watoto wenzie wa kucheza nae, akiwa na miaka mitatu na miezi saba nilimpeleka chekechea ambako ndiko alijifunza kuongea kwa bidii ili aweze kujichanganya vizuri na wenzie. Mpaka sasa ni mwaka mmoja tangu aanze kusoma anaongea vizuri kila kitu
hehehehe!!! Inabidi kuwa makini na ushauri unaotolewa hapa...kila mtu anaweza kuandika..
Ni Kweli mkuu La Cosa Mia, ila ushauri wa Mzizi Mkavu kwa asilimia kubwa sana unasaidia