Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Bibie kisukari Unazionaje Dawa zangu bibie? Zinatisha au vipi? Dawa zangu ninazozitowa zipo kwenye Vitabu vya kale vya miaka 1500 iliyopita Dawa zangu huwezi kuzipata katika vitabu vya kisasa ni Tiba Mbadala asilia bibie Dawa zangu zisikuache Hoi hakuna mwenye kuzijuwa hizi Dawa ila ni mimi Mwenyewe ukiweza jaribu kisha utanipa wewe mwenyewe Feedback.mzizi mkavu sometimes dawa zako huwa zinaniacha hoi
Mkuu La Cosa Mia inategemea wengine hawapo serious kutowa ushauri wa dawa wanafanya joke kwenye Thread ya mtu akieleza shida zake.hehehehe!!! Inabidi kuwa makini na ushauri unaotolewa hapa...kila mtu anaweza kuandika..
Mkuu La Cosa Mia Na wewe utoe ushauri wako sio kusema tu ukinywa maji tu ndio kwa asilimia 80% mtoto wake atapona toa ushauri wa dawa sio kupinga wenzio samahani kama nitakukwazamwili hujitibu wenyewe kwa asilimia zaidi ya 80.....yani ukiumwa na nikakupa maji tu kuna uwezekano wa kupona kwa zaidi ya 80%....TAFAKARI
Last edited by a moderator: