ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Rais Samia anaendelea kuacha alama za Uongozi Bora na wenye faida Kwa watu wake .
Mashuhuda wa hili ni wakulima wa Korosho ambao Kwa miaka Mingi wamekuwa wakitaabika na Kilimo Cha Korosho lakini hawaoni faida yake huku wakilalamikia bei ya chini na utitiri wa tozo za Vyama vya msingi.
Iliwahi kufikia awamu Jeshi likaenda kusomba korosho huku wakulima wakiachwa na vilio vya kutolipwa au kuliwa bei ya chini sana.
Sasa ndani ya miaka 3 ya Mageuzi ya Kilimo Cha Korosho ukiongizwa na Waziri Bashe chini ya maelekezo ya Rais Samia, korosho Sasa ni zao la kitajiri.
Mwaka 2021, uzalishaji wa korosho ulikuwa tani 180,000 tuu lakini mwaka huu 2024 uzalishaji umeongezeka na kufikia zaidi ya tani 528,000 na kuweka rekodi ambayo haijawahi fikiwa kabla.Sanjali na uzalishaji kuongezeka pia Mauzo yameweka rekodi Mpya Tanzania yaongoza kwa Uzalishaji wa Korosho Afrika. Namba 5 Duniani
Kana kwamba hazitoshi, wakulima wamepata bei nzuri ambayo Haina ukiritimba Kutokana na hatua za Serikali ya Samia kuwafuta madalali waliokuwa wanawanyonya wakulima.
Kwa mara ya kwanza bei ilivunja rekodi na mauzo kufikia zaidi ya Trilioni 1.5 ambazo 80% zimeenda Kwa Wakulima wenyewe.
👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DHHMGX1oewu/?igsh=MTYwMTNoeW05bTNkcw==
URL unfurl="true" media="instagram😀CgH54utd1Q"]
View: https://www.instagram.com/p/DCgH54utd1Q/?igsh=MTJkazNmcDhuOWZ1ZQ==[/URL]
My Take
Bila shaka Rais Samia anaendelea kuonesha kwamba yeye ni mama wa Mageuzi ya Uchumi na kuwaacha mbaaali waliodhani atashindwa 😂😂😂😂.
Samia ni Mpango wa Mungu ,usipotoboa awamu yake subiria maumivu wakija wale wa upande ule.👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DBA0rYdIO82/?igsh=eGhhYWFidWhodTNp