Miaka 30 bongo flavour, Dj ana kisa na Irene Uwoya na wenzie?

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,583
Reaction score
4,009
Walipopanda jukwaani Irene Uwoya, Kajala, Aunt Ezekiel na Jaqline Wolper waliwekewa ule wimbo 'nakupenda bibi kizee nakupenda kikongwe'...kweli baada ya pale nawaona hawa kama wakongwe wenzangu.

Kweli wamekula chumvi na sio wadogo kama wanavyotudanganya bali wanasaidiwa na filters na makeups


Your browser is not able to display this video.
 
Wote wamegongwa na Diamond..Hivi wanajiskiaje wakitembea pamoja?Tena Kajala na Wolper wamegongwa pia na Harmonize
 
Hivi Vikongwe unawajua?

Huwa nashangaa sana wanaosema sijui Zari ,Wolper,Kajala,ANti,Irene ni wazee hivi Bi Mwenda na Bi Msumi utawaitaje? Mwanamke anayewasema hao utakuta ana miaka 28 lakini ukimuweka na Zari Ze Boss Lady ambaye ana 40+ huyo wa 28 anaoenaka mzee ila zari Gen Z.
 
Mchungaji ni yupi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…