Miaka 30 Jela kwa kuiba simu na Tsh 50,000

Miaka 30 Jela kwa kuiba simu na Tsh 50,000

gogomoka

Senior Member
Joined
Jun 13, 2008
Posts
124
Reaction score
89
Two Dar residents given jail sentence for armed robbery
By Karama Kenyunko|12th March 2013

The Kisutu Resident Magistrate's Court yesterday gave a 30-year jail sentence to Saud Mluka (33), and Haruna Batezi (32), both of Magomeni in Dar es Salaam, after the court found them guilty of armed robbery.

The verdict was attested by Resident Magistrate, Augustina Mmbando who said, the prosecution side through their three witnesses and four exhibits was able to prove beyond reasonable doubt that the accused committed the offence.

Magistrate Mmbando sentenced Mluka and Betezi to 30 years in jail.

Before reading the verdict Magistrate Mmbando asked the prosecution team if they had anything to say regarding the matter, it was then that the team, led by State Attorney Kenneth Sekwao requested the court to give them severe punishment as required by the law so as to serve as a lesson to those with the same behaviour.

Reading the verdict, magistrate Mmbando said that evidence produced by the prosecution team has proved beyond reasonable doubt that the accused committed the offence.

In their mitigation the accused claimed that they did not know the offence they were being charged with so they asked the court to reduce their punishment.

According to the charge sheet it was alleged that on May 5, last year at Magomeni Mapipa in Kinondoni, Dar es Salaam, the accused stole 50,000/- in cash and a cell phone-Techno make worth 58,000/- the property of Athumani Said.

It was further alleged that just before stealing from Said, the accused threatened him with a bush knife in order to obtain the aforesaid stolen property.

My take;
Hivi tunaelekea wapi, kuwafunga miaka 30 vijana wadogo namna hii kutasaidia nini? Hawa wamekosa ajira ndio wamefikia huko. Hivi vibaka wote wakiwa wanakamatwa na kufungwa hayo magereza yote si hayatatosha.Gharama za kuwahudumia hawa vijana wawili kula, kunya na kulala kwa miaka yote hiyo bila kuwa productive haisaidii kwenye uchumi wa nchi. Hivi hakuna mwanasiasa hata mmoja anayeona kuwa hili ni tatizo?

Angalizo: Ndio wamefanya makosa, lakini kifungo cha miaka 30 hakiendani na ukubwa wa makosa, pamoja na hali ya uchumi wa nchi. Tutawafunga wangapi kwa mwendo huu?
 
Unafahamu maana ya Armed Robbery?! Hiyo ndio hukumu ya Armed Robbery....haijalishi kama umeiba vitu vya mabilioni au vya maelfu! In short, hata kama hiyo simu wasingeipata, bado hiyo ndio stahiki ya hukumu yao!! Usichanganye masuala ya Armed Robbery na vibaka....!
 
Armed Robbery unataka afungwe miaka mingapi achilia mbali kuiba simu.
 
Armed Robbery unataka afungwe miaka mingapi achilia mbali kuiba simu.
Tatizo lake ameangalia thamani ya simu badala ya kuangalia aina ya wizi uliotumika...!! Ndo maana hawaaishi manung'uniko kila siku ya kwamba "tumeonewa!"
 
My take;
Hivi tunaelekea wapi, kuwafunga miaka 30 vijana wadogo namna hii kutasaidia nini? Hawa wamekosa ajira ndio wamefikia huko. Hivi vibaka wote wakiwa wanakamatwa na kufungwa hayo magereza yote si hayatatosha.Gharama za kuwahudumia hawa vijana wawili kula, kunya na kulala kwa miaka yote hiyo bila kuwa productive haisaidii kwenye uchumi wa nchi. Hivi hakuna mwanasiasa hata mmoja anayeona kuwa hili ni tatizo?

Angalizo: Ndio wamefanya makosa, lakini kifungo cha miaka 30 hakiendani na ukubwa wa makosa, pamoja na hali ya uchumi wa nchi. Tutawafunga wangapi kwa mwendo huu?
hapo ndipo unaona faida ya ile hukumu ya kiislam inayosema jino kwa jino.
 
Unafikir hakimu kajipangia adhabu,ndo sheria ndugu.hafu jela mostly wanajizalishia wenyeme tu.
 
Kwa kuwa wameiba kwa kutumia silaha aina ya kisu hata kama wangekuwa wameiba biscut au pipi bado adhabu yao ingekuwa ni 30 yrs. Hata hawaendi kuleta kwa hiyo miaka 30 yao watafanga kazi ya kulima, kushona kujenga,kutengeneza faniture n.k
 
Wangewaongezea na ngumi mbili mbili za pua kila mmoja, wana bahati sheria haisemi hivyo. wezi nawachukia sana
 
Seuze biskuti, hata kama ingekuwa hajapata chochote....hiyo ndiyo stahiki yao!
 
Wangewaongezea na ngumi mbili mbili za pua kila mmoja, wana bahati sheria haisemi hivyo. wezi nawachukia sana
SURE, wenzao Armed Robbery wanaenda kufanya benki ziliko fedha zilizokatiwa bima, wao wanaenda kuiba simu!
 
""It was further alleged that just before stealing from Said, the accused threatened him with a bush knife in order to obtain the aforesaid stolen property""

Watu msome tena kwa makini sehemu hiyo ya ripoti!! Kuandikwa kwa kiingereza kusilazimishe ufahamu mdogo kuhusu "armed robbery" kuonesha hukumu ni ya haki!!

Katika penal codes za sasa ujangili (poaching) , ukabaki (raping), wizi wa kutumia silaha za moto (armed robbery), umiliki usio halali wa silaha za moto (illegal possession of firearms) ni baadhi ya makosa yanayompeleka mtu jela miaka 30.

Sentensi hiyo ya mwisho inaonesha hapa kuwa kinachodaiwa ni "armed robbery" kinakaziwa kwenye possesion ya bush knife (panga)!!

Hakimu hawezi kumfunga mtu bila kufuata misingi ya adhabu ambayo hawezi kujipangia tu. Ni uonevu unaoweza kufanywa kwa mtu asiyekuwa na legal assistance. Yaani unakuta mahakama zina prosecutors na hakimu upande mmoja na mhalifu peke yake upande mwingine. Katika nchi nyingine nyingi, defense team inakutolewa kwa mshitakiwa kwa gharama za serikali ili haki itendeke!!

napendekeza pen na computer viingizwe kwenye kundi la arms sababu wakina lowassa,jk,riz1 wanapiga sana kwa kutumia hivyo vitu..dah,andhaa kanoon(the law is blind)
 
Wizi wa kutumia silaha ni hatari maana unaweza pia kudhuru mwili hata kuua ndio maana adhabu huwa ni kali kiasi hicho,.hilo ni swala la kisheria halina mjadala kama hawajaridhika wanweza ku appeal kwenye mahakama za juu,.Ila sasa mahakama iharikishe kesi zingine zenye maslahi kwa taifa kama hii ya bazil Mramba na wenzie ambayo inakaribia miaka 8 sasa inaenda tuu!
 
Wangewaongezea na ngumi mbili mbili za pua kila mmoja, wana bahati sheria haisemi hivyo. wezi nawachukia sana

Mkuu umenichekesha sana! Unaonaje hiyo ikaingizwa kwenye katiba mpya??
 
Tena hiyo adhabu haitoshi,fuatilia CNN LEO,saudia arabia watu wamechijwa kwa sababu hiyo.Wewe hujawahi kuvamiwa na vibaka wenye silaha,siku ukivamiwa ndio utajua nini maana ya hiyo adhabu,tuwe serious
 
wheather the stealing of phone is a robery case?? Under which circumstance robery was occured??? Wheather the appellants was committed guilty for robery of mobile phone ana tsh.50000??
 
duuuuuuu..lakini sheria ndo inavyosema ukisoma kipengele cha 286 katika. Penal Code kinasema kwamba armed Robbery adhabu yake ni Kifungo cha Maisha in Jail. Hapo wamepunguziwa adhabu!!!
 
Back
Top Bottom